Ni heri matendo mabaya ya mzungu kuliko ujinga wa mtu mweusi

woote Manzi ga nyanza! mpaka leo tunauzwa na wasomi, nchi hii ni ya Mjermani hati ziko Vatican, hazijabadilishwa! kifupi hamna kwenu walipo kuja Tanganyika kulikuwa na waKhoisan 10,000 tu, wengi mmetokea ETHIOPPIA. Middle East mna bisha?

utumwa alikataa mwenyewe akasema siwanunui tena! mkae huko hko! na hawa nilio kwisha wachukua narudisha Africa Liberia! hao wanao kufa walikataa kurudi wenyewe!
 
N
Wazungu ni wetu walituletea ustaarabu.

Walituletea Biblia (Neno la Mungu) tukamjua Mungu wa kweli na wa pekee, Mungu wa Israeli, YEHOVA YWHW.

Ikiwa pamoja na kutufanyia hayo yote hadi leo waafrika wanaabudu mapangoni, ingekuweje kama wasingekuja huku gizani.

"dark continent"
naomba tafsiri yako ya ustaarabu
 
Back
Top Bottom