Wenye uzoefu wa kununua nyumba

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,930
Habari za muda huu ndugu zangu, nilikuwa nataka kununua nyumba sehemu, iyo nyumba mwenye nyumba amesha niambia bei ambayo anauza nyumba yake, maswali ninayo taka kujua ni

1. Je ni bank wakijua nataka kutoa ela kwaajili ya kununua nyumba, kuna gharama za ziada watakata kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?

2. Je kuna gharama za serikali za mitaa zozote kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?

3.je kuna gharama zozote TRA kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?

4. Je kuna Gharama zozote wizara ya aridhi kwaajili ya iyo nyumba na ni kiasi gani?

5. Na gharama zinginezo kama zipo naomba nitajiwe ili nione kama naweza kumudu

Note: naombeni mwongozo na mambo yote ya kuzingatia katika kununua nyumba kwa mtu ili niepushe gharama na kupigwa

Karibu ndugu zangu
 
1.Swali la kwanza halina mantiki yoyote, ukienda kutoa pesa bank hua wanakuuliza unaenda kuzifanyia Nini

2,3,4- gharama utatozwa pale unapotaka kubadilisha document, kama umenunua nyumba Ina hati utaenda tra kufanyiwa makadirio kutokana na gharama ya nyumba yenyewe, kama nyumba Ina ofa... Wewe utaomba Hio ofa uende ardhi uombe hati... Kuna gharama zinalipiwa ndio ila sio ghali sana, hakikisha kabla hujanunua Hio nyumba fika ardhi ujue kama kiwanja kina deni kiasi Gani kwanza, na bank kama haijachukuliwa mkopo
 
Shukrani sana ndugu yangu, je kwenda bank kuangalia kama aijachukuliwa mkopo nazunguka bank zote au ?
 
Hizo ndio kod ambazo azima uzilipe
Screenshot_20230903_202346_com.fmwhatsapp.jpg
 
1.Swali la kwanza halina mantiki yoyote, ukienda kutoa pesa bank hua wanakuuliza unaenda kuzifanyia Nini

2,3,4- gharama utatozwa pale unapotaka kubadilisha document, kama umenunua nyumba Ina hati utaenda tra kufanyiwa makadirio kutokana na gharama ya nyumba yenyewe, kama nyumba Ina ofa... Wewe utaomba Hio ofa uende ardhi uombe hati... Kuna gharama zinalipiwa ndio ila sio ghali sana, hakikisha kabla hujanunua Hio nyumba fika ardhi ujue kama kiwanja kina deni kiasi Gani kwanza, na bank kama haijachukuliwa mkopo

Kaa humu ,This case is Closed ,Boma Ye ,Boma Liwanza.

Kuongeza tu.

-Kuna Nyumba zenye Hati ya Kimtaa(Hapa utafanya upelelezi wa chini kwa chini kwa majirani kujua mmiliki wa hiyo nyumba),hapa katika Mauzo kuna Serikali za Mtaa macho Kuona watataka nao 10% ya mauzo ila hii negotiable ,pia kama mdau Mr Mutuu alivyosema ,ni lazima ufanye cross check kwenye Mabank kuweza kujua kama hiyo nyumba yenye details based na hati yake kama imewekwa Bond(kama ina Mkopo).

-Survey Plot(zenye hati ya Halmshauri/Manispaa/Ardhi) hizo ni kwenda kwenye mamlaka husika na kwenda kufanya verification umiliki wa huyo mtu maana kuna picha zake ,pia Bank lazima uende ku cross check.
 
Shukrani sana kiongozi
 
Back
Top Bottom