Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ingekuwa ni kweli wangewataja majina;
Hii ya kutufanya watabiri inaleta utata mkubwa;
Mwisho tutasema ni majungu.
 
umbea huu hilo jina umemfichia nani kama kweli tarifa yako inaukweli.
 
Ni rahisi kumtambua kwa kutumia Elimination method, kupitia maelezo yaliyotolewa na Raia Mwema.
Na tuanze sasa!
Weka list ya mawaziri wapya walioteuliwa katika mabadiliko ya mwisho mapema mwaka huu
Tambua mfanyabiashara wa maduka ya vifaa Manyoni, mkazi wa Mnyang'ombe.
Tambua hoteli kubwa Manyoni, mmiliki mwenye asili ya mikoa ya kaskazini.
............
............
Endelea kuunganisha!
 
Sijui kwa nini wanatumia hii kitu, "Jina la muhusika linahifadhiwa kwa sasa" sijui kuhifadhiwa kwa jina ni kwa wiki moja, wiki mbili, mwezi au mwaka?

Ingekuwa ni kweli wangewataja majina;
Hii ya kutufanya watabiri inaleta utata mkubwa;
Mwisho tutasema ni majungu.
 
Mhe Kamani, waziri aliyefutwa kazi na Mhe Mwakyembe JKNIA. Hii ni vita vya panzi, faida kwa kunguru. Aliguswa akapigana sasa anapigwa. Tusubiri tuone, mengi yatajitokeza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naomba mrejee kauli ya Kikwete,alisema list ya majangiri anayo na anawajua hadi idadi yake,huenda Waziri nae anajulikana na bosi!!

List ya wauza unga Mkuu anayo na anawajua ila tangu aseme hadi leo nini kimejili??!!

Biashara kharamu haifanyiki kwa ufanisi bila ya watendaji wa serikali kuhusika ama kwa wao binfsi kuifanya au kuibia ubia kwa kuibariki na kuiwekea mgongo!!

Twiga na wanyama waliobebwa pale na ndege pale airport na kukaribishwa "welcome on board" kwenye dege la kijeshi kuubwa utazani wanyama wanapasport na waviza waendapo nani alishitakiwa??!!

Wanyama wale wanajulikana walipelekwa Qatar kwa ndege ya jeshi,mtasema Waziri wa ulinzi hakufahamu ikiwa dege lile lilikaa wiki pale KIA??!! Kama Waziri wa ulinzi alifahamu je na raisi ambae ni amiri jeshi Mkuu??!!

Kama Twiga hao na wanyama wengine waliibwa kupelekwa Qatar mbona hawarudishwi au kufuatwa na serikali??!!

Tanzania umaskini utazidi,wezi watazidi kuneemeka huku uchumi na mali za asili vikiteketea kwa urafi wa wachache wasioshiba wala kuridhika na wanakula hadi na miguu!!!
 
Nchi ya wajinga huishi kwa minong'ono na staili fulani ya umbeya,

Mtu unamjua kabisa Nyalandu ama Kinana ni majangili, lakini kwenye kigazeti chako unaandika "jina linahifadhiwa", pumbaaaafu! Kama hutaki kutaja jina kwanini ulete habari hiyo? Yani unatufanya wasomaji tuanze kutabiri?
 
Ingekuwa ni kweli wangewataja majina;
Hii ya kutufanya watabiri inaleta utata mkubwa;
Mwisho tutasema ni majungu.

Kwa vyovyote vile huyu waziri ni Mamndeyi. Maana ndiye waziri mwenye kuiongoza wizara nyeti hapa JF, na aliteuliwa uwaziri awamu ya mwisho. Chonde chode baada ya kukutaja usije ukaning'oa kucha meno bila ganzi.
 
Naomba mrejee kauli ya Kikwete,alisema list ya majangiri anayo na anawajua hadi idadi yake,huenda Waziri nae anajulikana na bosi!!

List ya wauza unga Mkuu anayo na anawajua ila tangu aseme hadi leo nini kimejili??!!

Biashara kharamu haifanyiki kwa ufanisi bila ya watendaji wa serikali kuhusika ama kwa wao binfsi kuifanya au kuibia ubia kwa kuibariki na kuiwekea mgongo!!

Twiga na wanyama waliobebwa pale na ndege pale airport na kukaribishwa "welcome on board" kwenye dege la kijeshi kuubwa utazani wanyama wanapasport na waviza waendapo nani alishitakiwa??!!

Wanyama wale wanajulikana walipelekwa Qatar kwa ndege ya jeshi,mtasema Waziri wa ulinzi hakufahamu ikiwa dege lile lilikaa wiki pale KIA??!! Kama Waziri wa ulinzi alifahamu je na raisi ambae ni amiri jeshi Mkuu??!!

Kama Twiga hao na wanyama wengine waliibwa kupelekwa Qatar mbona hawarudishwi au kufuatwa na serikali??!!

Tanzania umaskini utazidi,wezi watazidi kuneemeka huku uchumi na mali za asili vikiteketea kwa urafi wa wachache wasioshiba wala kuridhika na wanakula hadi na miguu!!!
 
Gazeti la leo la Raia mwema wamesema kuna waziri ndie kiongozi wa ujangili na ana mtandao wake wa kuuza meno ya tembo...........kuna anaejua huyo waziri ni nani humu tumjue? binafsi naona hii ni serious ishu...

Pointless debates are the best debates because they're so pointless,you're on the same intellectual plane and it's a straight imagination battle!
 
Huyo demu anayeongozana na huyo waziri si yule mis tanzania wa kpnd kileee?
 
imetulia hii Mkuu na yote uliyoyaandika ni ukweli mtupu.

Naomba mrejee kauli ya Kikwete,alisema list ya majangiri anayo na anawajua hadi idadi yake,huenda Waziri nae anajulikana na bosi!!

List ya wauza unga Mkuu anayo na anawajua ila tangu aseme hadi leo nini kimejili??!!

Biashara kharamu haifanyiki kwa ufanisi bila ya watendaji wa serikali kuhusika ama kwa wao binfsi kuifanya au kuibia ubia kwa kuibariki na kuiwekea mgongo!!

Twiga na wanyama waliobebwa pale na ndege pale airport na kukaribishwa "welcome on board" kwenye dege la kijeshi kuubwa utazani wanyama wanapasport na waviza waendapo nani alishitakiwa??!!

Wanyama wale wanajulikana walipelekwa Qatar kwa ndege ya jeshi,mtasema Waziri wa ulinzi hakufahamu ikiwa dege lile lilikaa wiki pale KIA??!! Kama Waziri wa ulinzi alifahamu je na raisi ambae ni amiri jeshi Mkuu??!!

Kama Twiga hao na wanyama wengine waliibwa kupelekwa Qatar mbona hawarudishwi au kufuatwa na serikali??!!

Tanzania umaskini utazidi,wezi watazidi kuneemeka huku uchumi na mali za asili vikiteketea kwa urafi wa wachache wasioshiba wala kuridhika na wanakula hadi na miguu!!!
 
Inaudhi sana hii kitu, kama wana ushahidi kiasi hiki kwanini wasianike kila kitu hadharani? Raia Mwema najua baadhi yenu mnapita huku badilikeni katika uandishi wenu ili mkiamua kuandika habari ya ufisadi/ujangili au rushwa basi muweke kila kitu hadharani.

BAK inamaana huajamjua anaezungumziwa?Gazeti limejaribu kufunua kila kitu kwa uwezo wake,tatizo bano wanabanwa na sheria tata ya mageti.Hapo inabidi tulishukuru gazeti hili,kama ni uchunguzi wamesaidia kwa 75% kinachobaki ni kuunganisha dots tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Gazeti la leo la Raia mwema wamesema kuna waziri ndie kiongozi wa ujangili na ana mtandao wake wa kuuza meno ya tembo...........kuna anaejua huyo waziri ni nani humu tumjue? binafsi naona hii ni serious ishu...

Hata angetaja jina lake, The Boss; ungeongoza kikosi cha maccm wenzako kumtetea ili muingize siku ya kuzipata book7 pale Lumumba Lol.
 
Mkuu kabombe kwa mtu ambaye anafuatilia siasa za nchini mwetu hatapata shida yoyote kumjua anayetajwa hapa ni yupi, lakini kama siasa za nchini huzifuatilii basi hii article inaweza kuwa ngumu sana kuelewa nani anayezungumziwa.

BAK inamaana huajamjua anaezungumziwa?Gazeti limejaribu kufunua kila kitu kwa uwezo wake,tatizo bano wanabanwa na sheria tata ya mageti.Hapo inabidi tulishukuru gazeti hili,kama ni uchunguzi wamesaidia kwa 75% kinachobaki ni kuunganisha dots tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom