Ni hatari kwa mwanaume kujisifu akiwa na hivi vitu..

King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
2,841
5,354
Amani iwe nanyi..

Kuna baadhi ya vitabia ambavyo wanaume wengi wamekuwa wakivifanya pasi na kujua kwamba unawapunguzia urijali wao.
Unajua kuna baadhi ya vitu ukiwa navyo kama mwanaume ni kheri kwako na hivyohvyo vitu akiwanavyo mwanamke ni shari kwake,mfano mwanaume kuwa na ndevu ni jambo zuri na linamuongezea urijali tofauti na mwanamke kuwa na NDEVU ni jambo ambalo halipendezi kwake na linampunguzia thamani kama mwanamke japo ni mipango ya Mungu ktk uumbaji wake.

Natakakuzungumzia nyinyi madume wezangu wenye mianya na dimpozi pale mnapotaka kuonesha urembo wenu kupitia hivyo vitu (mwanya na dimpozi) either kwa kupost ktk mitandao una kenua kinywa chako ili tu tuone mwanya wako au dimpozi zako jua kwamba hivyo vitu si ktk vitu vinavyomuuongezee urijali mwanaume bali hvyo vtu akiwa navyo mwanamke kwake ni kheri kubwa coz vinamuongezea urembo Mara dufu.

Kuna baadhi ya vitu ukiwa navyo unaweza ukajiita kweli ww rijali mbele za watu mfano, mwanaume kuwa na pesa,kuwa na ndevu,ukakamavu,kutokuwa na haibu za kijinga,kuyumbishwa,pia mwanaume rijali atakiwi kuwa mchoyo na mmbea na n.k

Dimpozi na mwanya ni sehemu ya urembo kwa wanwke...
 
Mie nilizaliwa na dimpoz.

Nitazuiaje nikicheka? Au unataka nisicheke
Screenshot_20190728-121610~2.jpeg
 
Kwahiyo kwa sababu wana mwanya na dimpoz wasicheke vionekane lakini kwa ambao hawana wakicheka meno yakionekana hamna shida?

Wivu tuu.

Daaah! Wivu tena,hv ushaona mwanaume anaenda kuchonga meno awe na mwanya kama wapo basi wanamatatizo..

Wacheke ila wasichukulie kama kitu fulani kizur kwao ni sawa na mwanaume kuwa na matiti au makalio makubwa eti nae atikisetikise au mwanamke kuwa na kitambi..
 
Daaah! Wivu tena,hv ushaona mwanaume anaenda kuchonga meno awe na mwanya kama wapo basi wanamatatizo..

Wacheke ila wasichukulie kama kitu fulani kizur kwao ni sawa na mwanaume kuwa na matiti au makalio makubwa eti nae atikisetikise au mwanamke kuwa na kitambi..

Sasa nani kakwambia mwanya ni kwa wanawake tuu hadi ufananishe na matiti au makalio makubwa?
IMG_20190801_183209_803.jpeg
 
Hivi kwanini wanawake warembo wenye ndevu wamekuwa wengi siku hizi? halafu wengi ni weupe?
 
Bro Mimi Nina mwanya, Nina dimples, Nina hela, Nina ukakamavu na Ni rijali shababi hasa! Bado hutaki nicheke mbele za watu?
 
Back
Top Bottom