Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

Mwaka 2019 tu hapo nilishawishiwa na rafiki yangu ninunue hiace moja ilikuwa kazini kwao inauzwa, kumbe ile gari ni kimeo mbaya mbovu, engine haieleweki kabisa, ni zile hiace za NISSAN zenye tabia kama X-Trail ikianza kuharibika....jamaa nilikuwa namuamini sana so sikuwa na haja ya kukagua kivile, alinitumia picha tu nikaridhika nikijua ni marekebisho madogo madogo ya rangi e.t.c! Kitu ambacho sikujua ni kwamba jamaa yangu huyo alikuwa anapata commission kwa kuuza hiyo gari....dah nikazama CRDB nikapewa mkopo nikachukua gari langu nikiwa na matumaini itaingia road irudishe pesa!!! Mpaka navyoandika sasa hivi nimeamua kui-park tu, garage kila siku....mkopo bado natoboka kwenye mshahara wangu na gari haijarudisha hata robo ya pesa
Niuzie hiyo hiace nina mil 2
 
Pole Sana! Mm nililima pamba ekari 30, dada yangu pamoja na shemeji yangu tukakubaliana nitoe pesa wao wasimamie kilimo cha mpunga tukakodi ekari kumi,kilichotokea zile mbegu za pamba zenye manyoya hazikuota kabisa, tukarudia shamba zima pia zikagoma, ule mradi wa mpunga kla nikipiga cm dada ananiambia mambo mazuri so nikiambiwa tuma ela cjui ya kupandia, Kung'olea,yaani chochote kinachohhusu Shamba bas fasta natuma,kuna kpnd machale yakanicheza coz walikua wananiambia vitu vile vile ambavyo nimeshawatumia peas,so ikabidi nimtume rafiki yangu akaone mradi ulipofikia na unavyoendelea du! Jamaa wakampeleka ktk shamba la mtu mwingine jamaa ananipigia cm ananipongeza kwamba shamba limekubali na hata watu aliojaribu kuongea nao hapo wanasema hapo nimekosa sana basi gunia200_250 hapo nikajipa moyo kwamba ili nirudushishe hasara ya pamba mm sitauza mpunga nitakoboa niuze mchele ikikaribia christmass, kuanzia nilikua nikituma Sana ela na kla nikituma lazma niwatumie na za matumizi yao ili wasichukue zle za mradi.after six months kimbembe kikaanza nawauliza nipeni bajeti ya uvunaji ili niwatumie ela,mara naambiwa subiri mpunga haujakauka vizuri mara usiwe na wasiwasi shemeji yako anasimamia uvunaji usitume era, nimesubiri mwezi ukapita wananiambia tumeshavuna bado kupiga na kupepeta niwatumie ela muweke vibarua wanasema hapana, niliomba ruhusa kazini wakaniruhusu Kwa mbinde nikaenda bila kuwapa taarifa LA! nafika stendi naita boda ananiuliza wapi nikamtajia jina la Shem anipeleke kwake yule akaniambia huyo ndo bosi wake mwenye hiyo boda na aliznunua mbili zinapiga mzgo mm ckuwa na waswas balaa nilipofka wakashkwa na butwaa kuniona baada ya salamu tu nikataka wanioneshe magunia waliovuna yaani ilikua mvurugano mambo hayaeleweki na kumbuka hiki kilimo ni cha umwagiliaji hakuna kusingizia mvua, mwisho walinieleza tu ukweli kwamba pesa nilizokua nawatumia wao walifungulia miradi yao shem alinunua pkpk mbili sista akafungua mgahawa wa kisasa wakaniomba radhi na kuniahidi kunilipa kdogokdogo maza nae akanisihi nisiwe na hasira, mm sikuzungumza ktu niligeuka cku hyohyo nikarudi toka cku hyo mpaka leo ckumbuki kama nimewahi kuwapigia cm,mpaka leo cwezi jiingiza ktk mradi wa kilimo milele nilijibana mno kwa muda Ilse nifanye saving ya kutosha lakn mwsho wa cku nikaambulia patupu inauma nikikumbuka.
Ukiendekeza Ndugu utavuna magugu
 
Vp zile hela walikulipa au ndo wakapotezea?
 
1. Mwaka 2018 nilianza kazi nikaji-make nikarudi nyumbani Dar nikakutana na rafiki zangu ambao tumekua wote kwa muda tofauti tofauti wa kwanza tulikubaliana nimpe 500k aanzishe biashara ya mabegi alafu tutakua tunagawana faida yeye atakua kama msimamizi kufupisha story jamaa akanipiga yote
2. Mtaa huohuo kuna kijana mwingine alikuja na maswala ya kilimo yeye akachukua 19k huyu nae akanipiga
Kinachonifanya niandike ni kwamba hawa watu nilikua na panga nao mipango kila mtu kwa wakati wake na hakuna aliokua anajua habari za kuhusu mwingine lakini nilivyorudi kazini baada ya kujiridhisha kwamba nimepigwa hawa jamaa kila mtu kwa muda wake akawa KICHAA walipishana wiki moja tu... na mimi sikufanya chochote hata kuwasalia novena , albadili hata kulalamika sikulalamika ... kuna rafiki yangu mwingine ambaye alikua anajua uhuni walionifanyia hao jamaa akanipigia simu kunipa taarifa ya hao vichaa yeye anahisi kuna michezo ya kiswahili nimewafanyia...sasa kipindi ananipa taarifa simu niliyokua natumia ilikua na sauti kubwa kidogo na wakati huo niko na mama ananiuzia chakula kwa bili ashanichanganyia mahesabu anipige 5000 ... alivyosikia hizo taarifa mana alikua karibu ikabidi baadae aje arudishe hela yangu aliyozidisha. .. nilicheka sana ikabidi nimwambie chukua tu nimekupa akakataa katakata...
 
Ni kweli mkuu anayekujuwa ni rahisi kukuumiza sana. B
Mshikaji watu wanajua ni kaka yangu maana alikuwa rafiki wa karibu sana.
Siku hizi kafulia mbaya, wafanyakazi wake kila siku wanaomba kazi kwangu. Nimefanya nao kazi toka 2010 hadi 2014 hivyo tunafamiana sana.
Jambo kubwa ni kusamehe na kuendelea na maisha. Umaskini wa mtu ni akili yake mwenyewe wala si mazingira yanayo mzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa kama nakujua kila nikiunganisha dot naona picha inakuja.

Kunasiku tulikuwa wote nyerere square dom
 
Pole Sana! Mm nililima pamba ekari 30, dada yangu pamoja na shemeji yangu tukakubaliana nitoe pesa wao wasimamie kilimo cha mpunga tukakodi ekari kumi,kilichotokea zile mbegu za pamba zenye manyoya hazikuota kabisa, tukarudia shamba zima pia zikagoma, ule mradi wa mpunga kla nikipiga cm dada ananiambia mambo mazuri so nikiambiwa tuma ela cjui ya kupandia, Kung'olea,yaani chochote kinachohhusu Shamba bas fasta natuma,kuna kpnd machale yakanicheza coz walikua wananiambia vitu vile vile ambavyo nimeshawatumia peas,so ikabidi nimtume rafiki yangu akaone mradi ulipofikia na unavyoendelea du! Jamaa wakampeleka ktk shamba la mtu mwingine jamaa ananipigia cm ananipongeza kwamba shamba limekubali na hata watu aliojaribu kuongea nao hapo wanasema hapo nimekosa sana basi gunia200_250 hapo nikajipa moyo kwamba ili nirudushishe hasara ya pamba mm sitauza mpunga nitakoboa niuze mchele ikikaribia christmass, kuanzia nilikua nikituma Sana ela na kla nikituma lazma niwatumie na za matumizi yao ili wasichukue zle za mradi.after six months kimbembe kikaanza nawauliza nipeni bajeti ya uvunaji ili niwatumie ela,mara naambiwa subiri mpunga haujakauka vizuri mara usiwe na wasiwasi shemeji yako anasimamia uvunaji usitume era, nimesubiri mwezi ukapita wananiambia tumeshavuna bado kupiga na kupepeta niwatumie ela muweke vibarua wanasema hapana, niliomba ruhusa kazini wakaniruhusu Kwa mbinde nikaenda bila kuwapa taarifa LA! nafika stendi naita boda ananiuliza wapi nikamtajia jina la Shem anipeleke kwake yule akaniambia huyo ndo bosi wake mwenye hiyo boda na aliznunua mbili zinapiga mzgo mm ckuwa na waswas balaa nilipofka wakashkwa na butwaa kuniona baada ya salamu tu nikataka wanioneshe magunia waliovuna yaani ilikua mvurugano mambo hayaeleweki na kumbuka hiki kilimo ni cha umwagiliaji hakuna kusingizia mvua, mwisho walinieleza tu ukweli kwamba pesa nilizokua nawatumia wao walifungulia miradi yao shem alinunua pkpk mbili sista akafungua mgahawa wa kisasa wakaniomba radhi na kuniahidi kunilipa kdogokdogo maza nae akanisihi nisiwe na hasira, mm sikuzungumza ktu niligeuka cku hyohyo nikarudi toka cku hyo mpaka leo ckumbuki kama nimewahi kuwapigia cm,mpaka leo cwezi jiingiza ktk mradi wa kilimo milele nilijibana mno kwa muda Ilse nifanye saving ya kutosha lakn mwsho wa cku nikaambulia patupu inauma nikikumbuka.
Hoa ni masikini na wachawi wakutupwa usijishughulishe nao tena ... katika jambo lolote..!

Huo undugu ufee
 
Ile bomoa bomoa ya mwaka 2015 ya upanuzi wa barabara,sitokaa niisahau maisha yangu yote maana sisi tulikua wale wananchi wababe wakimbilia mahakamani kufata "stop order"

na kweli tulifanikiwa kupata "stop order" kweli maeneo yetu yasiguswe ktk upanuzi mpk siku kesi yetu itakapoisha mahakamani,lakini utawala huu wa huyu muheshimiwa wa chato sikuamini kilichonikuta

baada ya siku moja nipo nnje ya mji kwa majukumu mengine kabisa nilipigiwa simu na moja ya wafanyazi wangu na tofauti na siku zingine akipga lazima anisalimie kwanza ila round hii nilipopokea tu nilimsikia akisema "boss tufanyeje huku karandinga linabomoa frem za hapa zote"

Niliwambia tokeni nnje ya ofisi kila mtu abebe Computer yake na anachoweza kishika kisha wakae waangalie panavyobomolewa na wahakikishe hamna mtu anaenda kwenye hicho kifusi kugusa kitu

basi katapila liligeuza zile ofisi/frem Juu chini angusha kuta zote,nilikuja kufika eneo la tukio saa 7 usiku baada ya kutoka huko nilipokua,ki ukweli nilipofika pale "nilishindwa jizuia kulia" i cried i cried i cried,nilikaa juu ya kile kifusi cha zile ofisi zangu huku machozi yakigoma kukauka. "i can't explain more,it pains".
Pole sana mkuu.

Ofisi ilikuwa inadili na nini?
 
wenyewe wanamuita CHUMA, nafikiri kama Mungu yupo basi atalipwa sawasawa na aliyoyatenda.
 
Juzi kati tu,nimekaa zangu home nawaza ili na lile,madeni kibao na kodi imeisha nasumbuana na mwenye nyumba.Ghafla simu inaita ya tajiri mmoja(nilishawai kumfanyia kaz yake na akanipa ela ndefu sana sikuwa nimewai kuimiliki).Moyoni nikasema imekuwaje tena,ile kupokea tu jamaa anaita Fox huko wapi nina shida na ww km huko mkoani sema ntakutumia nauli.Moyoni nkajua jamaa kabanwa,nikampa mihadi jioni tuonane sehem.Mida ukafika akanieleza shida zake kibao ila lililo kuu ni kumpanga officer mmoja wa serikari mambo yake yaende sawa(Tajiri huwa ananikubali sana kwny negotiations),akanikatia laki 3 kwanz ya usumbufu,kesho nkamuona officer nikampanga ile mbayaa for days mana ilikuwa live or die job.Uzuri ni kuwa officer akakubali na matakwa yake akaomba tuyatimize kwanza,kesho yake tajiri nikampa mkanda mzima hasa yale aliyotakiwa kuyajua.Na hapo tukakubaliana ujira wangu around 3.7M hivi,Matakwa ya officer yakakaa sawa na Mambo ya tajiri yakaanza kunyooka.Kwakuwa huwa namuamini pesa sio shida kwake nkaona haina noma atanilipa mana alisema nimpe kama siku 3 au 4 hivi,kazi ikawa imeisha namsubiri yeye tu hapo,nikarudi home nikajipongeza sana mana niliona ni km Mungu kuniokoa hali ilikuwa mbaya mno.Basi buana siku zikapita tajiri hasomeki,hapo mwenye nyumba nilishamuondoa hofu kuwa ela yake bada ya wiki moja tulia pesa ipo.Kila nikipiga simu tajiri anatoa kalenda tu,nkaona hisiwe tabu,mwenye nyumba vita ikaanza mana yule mzee ni mtata balaa.Kwa ufupi tu ni kuwa tajiri ata kupokea simu ni vigumu hizo msg huwa hajibu kabisa,aliwai kutuma laki 1 tena kwa tabu sanaa.Sasa imepita miez 5 na tajiri nampigia sana ila anakausha nikitumia namba nyingine nampata ila napigwa kalenda,hiyo pesa mpk sasa naona nimepigwa tu mana dalili zote zinaonesha hvyo.
Uzuri ni kuwa kampuni zake nazijua in and out ata password ya huduma mbalimbali za kiserikali zipo kwangu yeye hajui password ata moja,vitabu vyake vyote vipo kwangu yani nasema hivi ngoja nimpe muda nina tools kibao za kumuangamiza

FUNZO:Katika kipindi hiki husiamini mtu kila mtu ana element za usaniii,huyu Tajiri ana pesa ndefu kiasi kwamba hawez kukosa ela za kunilipa ila sijui nini kinatokea hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Babu watu Wana mamikopo balaa,usione watu Kwa nje Wana mali kumbe wananuka madeni
 
Back
Top Bottom