Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

Aka mwenzangu mi napenda kujifunza mambo mazuri na wenzangu tena ndo naelewa vizuri...........basi tena,ngoja ni subiri somo yangu nikishampata huyo bwana anifundishe kupika,

He..!! Mama unakimbia tena,au umesahau kuwa mwalimu mzuri ni yule anayekufundisha ukiwa peke yako...?
 
Ndio tunaweza nasi kuwarudisha kwa wazazi wenu na pia kupitia mahakama kuvunja ndoa na kugawana tulivyokusanya pamoja au ulivyokusanya pamoja tukiwa wote.........Nimeshafanya kwa wawili niko kwenye process ya kutoa ya tatu ndo nataka kesho nimrudishe kwa wazazi kwanza........LOL
Hivi mwanamke naye siku hizi anatoa talaka?
 
Ndio tunaweza nasi kuwarudisha kwa wazazi wenu na pia kupitia mahakama kuvunja ndoa na kugawana tulivyokusanya pamoja au ulivyokusanya pamoja tukiwa wote.........Nimeshafanya kwa wawili niko kwenye process ya kutoa ya tatu ndo nataka kesho nimrudishe kwa wazazi kwanza........LOL

Naomba niwe wa nne ili nikufundishe vizuri kupika..............
 
Ndio

Oa mwengine nae asiopojua kutandika utamuacha utaoa mwengine
 
Kama wanandoa ni watanzania, tena wenye kujali mila na desturi zao basi ni "unwritten" wajibu kwa mwanamama, mrembo ajue kupika.
Kwa hiyo Jamaa kama alipiga talaka kwa mrembo kutokujua kupika alikuwa within unwritten wisdom ya mwanamme wa kiafrika kuwa mrembo ni lazima amuandalie mume chakula.

Kama ni wakaazi wa miji mikubwa haya mambo yanaanza kubadilika kidogo kidogo. watu hutafuta mpishi, hasa msichana ambaye pia akina baba wengine humtumia kufanya kazi za kitandani za mrembo pindi mrembo anapokuwa na dharura.
 
Hapo mkuu umenena sijakiona tu kile kidude cha senksi nikikiona lazima nikutendee haki,maana huyo mume ni wa kule kwetu kwa washosha ng`ombe(Usukumani)
 
kwani umenioa nipike au nna kazi nyingine,kupika ni msaada tu nakufanyia!!!
 
Mh...!!! Sasa mbona na hiyo kazi nyingine siku hizi ina masharti?Eti ooh,mi nachoka nitafanya kazi mara mbili tu kwa wiki,jamani punguzeni kutuonea hivi basi.
 
da jina lako nashindwa kulitaja mi mlume lakini umeua

Umekubaliee eti ugali,ugali,kwani dada zako hawajui kupika ugali,mbona hujawaoa umenifata mie hata sina nasaba na wewe,ina maana hukufata ugali kwangu,mnatakiwa mlitambue hilo
 
Mh...!!! Sasa mbona na hiyo kazi nyingine siku hizi ina masharti?Eti ooh,mi nachoka nitafanya kazi mara mbili tu kwa wiki,jamani punguzeni kutuonea hivi basi.
Ukiona unapewa kwa masharti ujuwe hujui,kama mkali utapewa hata kama kuna msiba wa baba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom