Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,634
4,519
Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
 
haha hah si HALALI KUMUACHA kwa sababu kosa si la uyo mke ni la wazazi wake HAWAKUMFUNDA VYEMA
TUNAVYOLELEWA NDO TUNAVYOKUWA
ni malezi pbm..uyo jamaa angeanzia apo angemwelekeza tu na angejua tu kupika si issue.#
malez ya ki st marys ayo kakangu ..kumweka jikon mtoto wa kike na haus gal jikon inaonekana UNAMHUJUMU ni bora abak achat face buku na vduku wenzake matokeo yake ndo hayo
mtu mkubwa form 6 sjui chuo hajui ata kufagia chumba chake kutandka chumba mpk haus gal amtandikie...
anakula vyombo dada atakuja kutoa,anaoga chup dada atafua..
wazaz weng wanadhani wanalea vzuri kwa kumfanya mtoto ashinde seblen muda wote ...mumyyyyyyyyyy n dadddddddddddd nying
 
Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
mwafrika halisi....!!
 
ndo wamejazana wengi kweli siku hizi..na wanajiita wana hadhi ya kuwa wa wake za watu... hawana hata aibu!!
 
Hili ni fundisho kwa wazazi wanaowalea watoto vibaya kama mayai na kushindwa hata kupika mara baada yakuolewa.
Japo si busara kumuacha mke kisa ajui kupika!
Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
 
Amfundishe!Ndo tatizo la kuwatumia wafanyakazi tu!Watoto wanajua kula bila kujifunza kinapikwaje!
 
its a shame for an african woman not knowing how to cook......i support the divorce
 
haha hah si HALALI KUMUACHA kwa sababu kosa si la uyo mke ni la wazazi wake.......

uko sahihi rose, ndo maana hata yeye hakuumpa mkewe talaka bali aliipeleka kwa wazazi (wa mke) maana ndo wenye makosa
 
Katika Weaknesses zote bora mke awe nayo hiyo sababu ni rahisi kujifunza, sasa ukimfukuza huyo ukachukua mwngine ambaye anajua kupika ila hana hitilafu nyingine mbaya kama tabia (ambayo haiwezi kubadilika) utakuwa umefanya nini..... Kwanza maisha ya sasa notion kwamba mke ndio mtu wa jikoni haipo.... Kwa sasa parents wote unakuta ni watu wa kuhangaika.....

In short jamaa asije akawa ameruka majivu akawa amekanyaga moto
 
Alimpa talaka na ushahidi ulikuwa kile chungu cha ugali kama nimesoma vizuri
uko sahihi rose, ndo maana hata yeye hakuumpa mkewe talaka bali aliipeleka kwa wazazi (wa mke) maana ndo wenye makosa
 
ndo wamejazana wengi kweli siku hizi..na wanajiita wana hadhi ya kuwa wa wake za watu... hawana hata aibu!!

yaan utamkuta mdada mkubwa hajui kupika ,rum yake chaafu kitanda akiamka anaacha ivo vo na net yake jion akija anajidumbukiza km anatumbukia kwenye kiota
hajui kupika,kuosha vyombo wala kuoga na kabat lake lipo km sagura sagura ya tandka lakin ukimwona uko nje anajifanya kuact kilady..akisimama apo mbela kupresent pepa yake ahh unaona uyu ndo mwanamke kipangaaa lakin dah home affairs utalia..
stl WANAFUNDSHIKA..KM AMEKUPENDA KWELI UKIMFUNDISHA ATAKUPATA NA ATAKUWA MKE MWEMA NA atafanya kaz zoote
 
Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani jamaa akagundua kuwa ulikuwa mbichi,ukamwagwa.Siku ya pili,vilevile na ya tatu jamaa akachoka na kuchukua chungu cha ugali kisha akakifunga kwenye baiskeli na talaka mkononi kwenda ukweni.Kufika huko akakabidhi ugali mbichi kama ushahidi na talaka juu.Sasa ndio ninajiuliza ni halali kumwacha mkeo kisa hajui kupika?
Kwa mila za Kiafrika one of the reasonable cause 4 divorce ni uwezo wa mapishi, jamaa alitakiwa aexost means zote kabla ya kumtimua mke wake. Kuna baadhi ya makabila ambayo binti hupewa nyenzo za kujikinga dhidi ya mapishi mabaya.
 
yaan utamkuta mdada mkubwa hajui kupika ,rum yake chaafu kitanda akiamka anaacha ivo vo na net yake jion akija anajidumbukiza km anatumbukia kwenye kiota
hajui kupika,kuosha vyombo wala kuoga na kabat lake lipo km sagura sagura ya tandka lakin ukimwona uko nje anajifanya kuact kilady..akisimama apo mbela kupresent pepa yake ahh unaona uyu ndo mwanamke kipangaaa lakin dah home affairs utalia..
stl WANAFUNDSHIKA..KM AMEKUPENDA KWELI UKIMFUNDISHA ATAKUPATA NA ATAKUWA MKE MWEMA NA atafanya kaz zoote

Haya,halafu waume wakisifia chakula alichopika housegirl, mke wa aina hiyo ananuna.
 
mnh ngoja nitakuja kwako rose unifundishe kupika..........i can sense danger huko mbeleni:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Njoo kwangu nikufundishe hata Rose alijifunzia kwangu alivyojua akanikimbia.
 
upaswi kumsifia cz unajua uyu ana pbm na hakukuzwa kuja kuwa mama alikuzwa kuja kuwa mtaalamu tu tu so alikuwa anasoma tu na kuchat mda wooooote mambo ya kumsaidia dada hayakwepo ...yakupasa kumwelekeza apo
unakuwa mume mwema mwenye busara na kumpa dut zake...
 
Njoo kwangu nikufundishe hata Rose alijifunzia kwangu alivyojua akanikimbia.

mmh jaman ..
asi wewe ndo ulimsifia haus gal jana?
siwi tena bib wa wajukuu zako
ntakuwa MWANAHARAKAT TU na stakuwa mwalimu katu.
 
mnh ngoja nitakuja kwako rose unifundishe kupika..........i can sense danger huko mbeleni:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:

njooo mwaya
lakin mimi nina TASHWISHWI SANA juu ya U PAULINE AU PAULO..bt karibu i wl endo ol da stuation.!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom