Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
-
- #41
Ukijua maana ya neno IMANI utakuwa umshapata jibu lako......kwani nilianza na neno......kwa watu wa IMANI..
hata kama ni imani je ni sahihi kumwabudu marehemu au kumwombea maana marehemu hajui na hajijui kabisaa.
Naomba twende kwa mfano ili tuelewane.
Maiti ya mama yako na mchicha wa 2000, kipi unadhani ni bora kitupwe jalalani kiliwe na mbwa?!
labda nikuulize ni haki kuenzi fikra na busara za nyerere?kama ni haki,kwan tusimuombee huko alipo kwa mema aliyotuachia?
Akil kubwa sana tumia hapa
Sijatoka nje ya mada. Swali lako linauliza, "Ni haki kumwabudu marehemu?". Nimekupa vifungu vya katiba vinavyoruhusu mtu kuwa muumini wa mafundisho ya imani yake ili mradi havunji sheria. Huyo anaamini katika 'kumwabudu' marehemu. Hajavunja sheria za nchi. Sasa hapo kwa nini isiwe haki?umetoka nje mada mkuu hata hivyo asante kwa kuchangia.
Sijatoka nje ya mada. Swali lako linauliza, "Ni haki kumwabudu marehemu?". Nimekupa vifungu vya katiba vinavyoruhusu mtu kuwa muumini wa mafundisho ya imani yake ili mradi havunji sheria. Huyo anaamini katika 'kumwabudu' marehemu. Hajavunja sheria za nchi. Sasa hapo kwa nini isiwe haki?
Hebu weka na aya uliyosoma kwenye Biblia yako.
Kuenzi fikra na busara hiyo ni sawa.Lakini kumuombea huko aliko si sawa kwa maana yuko chini ya ardhi na analiwa na wadudu.
Sidiscuss naogopa
No,usiogope bana we changia@misschagga umesahau We dare to talk openly??
Wana JF.Hili swala la kumwabudu marehemu au kumwombea wakati yeye kashakufa na hana ufahamu wowote kweli ni jambo jema? Maiti haijui wala haisikii nijuavyo mimi sijui wenzangu mnajuaje? Maiti haina thamani yoyote hata fungu la mchicha la mia mbili inaizidi thamani nijuavyo mimi.Naombeni na nyie mawazo yenu kuhusu hili watu wa jf.