Ni Haki Kujamiana na Wanyama...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Haki Kujamiana na Wanyama...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ab-Titchaz, Nov 21, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Nov 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  tazameni seketa imetokea Kenya na njemba imeswekwa Lupango miaka 4.

  Man pleads guilty to having carnal knowledge of cow


  Published on 29/10/2008
  By Stella Mwangi

  A man stunned a Nakuru court after he pleaded guilty to having carnal knowledge of a cow.

  Vincent Ekeno Ng’ang’a told chief magistrate Wilbroda Juma that he was not in stable mind when he committed.

  "I do not know what got into me. All I know is that I was not myself that day, please have mercy on me," Ng’ang’a said.

  Ng’ang’a was charged that on October 22 at Kale farm in Bahati, Nakuru District he committed the offence.

  The court heard that the owner of the cow Mr Nicholas Kibiwott caught him pants down and took him to Solai Police Station.

  Ng’ang’a was sentenced to four years imprisonment


  The Standard | Online Edition :: Man pleads guilty to having carnal knowledge of cow
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2008
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ebu sasa tulinganishe ni ile thread kuhusu mtoto aliyelelewa na nyani....kuna possibility kubwa sana kama kweli alikutwa na nyani akawa mtoto wake!
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Njemba ilizidiwa na njaa ikaenda kumalizia kwa ng'ombe.....ila ana bahati ng'ombe hakumtegua kiuno (na ingekua mwisho wake):).
  Hatma ya huyo ng'ombe sijui ilikuaje...manake akichinjwa huku watu wakiwa wanajua aliwahi 'kuolewa' na mtu basi hawatakula nyama.
   
 4. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Kwi! kwi! kwiiii!!! Roya ndoa ya aina gani hiyo? Bibi harusi ng'ombe????? Duh!!
   
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2008
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Si afadhali hata kiuno! Tehe tehe tehee!
   
 6. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mwenyezi Mungu atulinde na harka za dunia na sheitan .. ila watu kama hao kweli yabidi wafungishwe ndoa na wanyama walowaharibu .. tena mchana kweupe na matarumbeta .. hii itakuwa fundisho tosha kwa wale wote mafirauni
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Nov 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  hahaha...umenikumbusha mbali dadangu na hio comment ya matarumbeta.
  Mombasa kuna mabarobaro wanaitwa simba-ropa na nd'o kanuni zao hizo.
  Utafungishwa ndoa jamvini na huku wahuni tunaimba na tarumbeta juu!!!!
   
 8. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  WHO KNOWS.....?! Duniani kuna mambo!
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Je mnamkumbuka yule aliye lazimishwa kumwoa mbuzi kule Sudan?.... :https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/1960-aliyemla-uroda-mbuzi-alazimishwa-kufunga-nae-ndoa.html?highlight=mbuzi+ndoa

  Hivi ndivyo wanatakiwa kuwafanyizia.

  -------------------**---------------------

  Seriously ndugu zangu, sasa kwa jamaa kama huyu akisema kwanini haturuhusu madanguro katika sheria zetu kama kule Amsterdam jibu gani tutampatia?
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  How old is the guy?
  Miaka minne kwa sababu amechomeka kwenye K ya ng'ombe au kwa sababu ni ng'ombe wa mtu?


  Alimkuta wapi huyo ng'ombe? Jamaa ni mkamua maziwa, mchunga ng'ombe...?
  Ndiyo maana wazungu wametuletea condoms badala ya kusisitiza abstinence for young people. Imebidi mtu mzima aokote fimbo ya karibu.


  Ni kosa kuparamia mnyama. Ila najaribu kufikiria madhara ambayo jamaa amesababisha kwa mnyama au kwake mwenyewe hata kuswekwa ndani 4 years.
  Ukimpiga mtu ukamtoa ng'eu, utaswekwa ndani miaka mingapi?  .
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  That's every answer you need about this. You can't do such an immoral act with sound mind! I thought they asked an expert in psychiatry prove before they sent him behind bars.

  As humane beings, we have the right to condemn all immoral acts but may be we need to take stop and assess ourselves. I am sure most of us have or still do some nasty stuff, only that we have never been caught...!
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #12
  Nov 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Balaa ya matokeo????


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hapana Ab-Titchaz. Hizi picha hazihusiani na hii story hata kidogo. Nina amini haya ni mambo mengine tu ya genetic disorders na mambo mengine yahuisianayo na interbreeding.
   
 14. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #14
  Nov 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Nimekupata mkuu na najua hilo.I was simply trying to ask kama hii
  ni mojapo ya matokeo ya such.
   
 15. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35  See the story below, this incident happened in Sudan. the man was forced to marry the goat he had carnal knowledge with. Yaani, ya dunia ni mengi!!!

  BBC NEWS | Africa | Sudan man forced to 'marry' goat  Sudan man forced to 'marry' goat

  A Sudanese man has been forced to take a goat as his "wife", after he was caught having sex with the animal.
  The goat's owner, Mr Alifi, said he surprised the man with his goat and took him to a council of elders.

  They ordered the man, Mr Tombe( look at the name itself, waaaa!!!), to pay a dowry of 15,000 Sudanese dinars ($50) to Mr Alifi. :rolleyes:

  "We have given him the goat, and as far as we know they are still together," Mr Alifi said.


  Mr Alifi, of Hai Malakal in Upper Nile State, told the Juba Post newspaper that he heard a loud noise around midnight on 13 February and immediately rushed outside to find Mr Tombe with his goat.
  "When I asked him: 'What are you doing there?', he fell off the back of the goat, so I captured and tied him up."

  Mr Alifi then called elders to decide how to deal with the case.

  "They said I should not take him to the police, but rather let him pay a dowry for my goat because he used it as his wife," Mr Alifi told the newspaper.

  Story from BBC NEWS:
  BBC NEWS | Africa | Sudan man forced to 'marry' goat

  Published: 2006/02/24 17:37:52 GMT

  © BBC MMVIII
   
 16. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kama sikosei hata maeneo ya kimara kuna njemba "alimtenda" mbuzi akalazimishwa kumuoa. mwenye mbuzi alidai mbuzi hana maslahi kwake hivyo jamaa ajichukulie "wife" aanze naye mbele.
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kuoa mnyama ni kawaida kwa jamii ya wazungu ,kuna visa kibao vya wao kujamiana na wanyama hata urisi wanawaandikia wanyama wao,kuna msemo wa kiswahili usemao mapenzi kama majani huota popote.
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  Nov 22, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  ???????????????????....mifano yote ya hapo juu ni ya waafrika.
   
 19. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #19
  Nov 23, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kutumiwa link fulani ya website inayoonyesha akina mama wa kizungu wakijamiiana na mbwa laivu. Niliangalia mara mja nikasema Mungu waongoze waja wako hawa watambue tena kuwa miili yao ni mfano wako na inatakiwa kutunzwa kitakatifu. Ngoja nitaisaka link hiyo kwenye trash na kama nitafanikiwa kuipata nitaileta hapa.
   
 20. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mwiba, wazungu wamekufanya nini? Mbona kila mahali unawapachika tu! Basi tuambie ni kwa waungu wapi ambako ni kawaida kuoa wanyama!
   
Loading...