Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,919
Habari wataalamu wa lugha.

Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
 
Umeshindwa kupakua kamusi ya kiswahili kwenye simu yako au kusumbuana tu, humu lete mambo yanayohitaji kutumia akili.
 
usitumie nguvu nyingi angalia mfano huu haipo na ipo inajieleza vizuri. lugha sahihi ni Hairisha. huwa tuna hairisha safari
Wewe ndio unatumia nguvu........ni mtaalamu kutoka BAKITA?
 
Back
Top Bottom