Hivi athari ya ALIBADILI huwa inadumu kwa muda gani!!!!??View attachment 634475mnadanganya ili mpate nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa si wakaombe poo!! ili yaishe... Maana watakuja kuropoka visivyoropokwaMpaka mtu aombe Po!
Kwa hiyo hapa vipi, Ndok kiki kwa pikipiki?View attachment 634475mnadanganya ili mpate nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimejikuta tuu nakumbuka ule wimbo wa Lady Jay Dee..... hizi ni zama za ukweli na uwaaaziii
Ukimpenda mtu bwanaa ukimtaka mtuu mwambie ukweli na sio kumpakazia. ....
Naombwa nisitafsiriwe chochote kile nimeukumbuka tuu huu wimbo jamani.
Washee, nimekuelewa. Mrungu akughenje.
Mkuu msikilize tena Bashite vizuri halafu rejea tena haya madai yako...Hii ni kashfa kubwa kwa Taifa hizi habari za bashite zikanushwe haraka sana na serikali.. Huduma hii ni ya bure... Wachina watajisikia vibaya na kutudharau wakisikia kuna hela ililipwa kwao ili iwatibu bure watanzania....
Siku hizi dunia iko kiganjani hii habari ukiweka wechat hata kwa kiswahili in a minute imeshatafsiriwa kwa kichina....
Bado mtu hatawajibishwa hapa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Imagine wachina watasoma huu upu.pu na serikali itakaa kimya, kesho wakituita SAABII tutawalaumu kweli?Kwa hiyo hapa vipi, Ndok kiki kwa pikipiki?
Makonda: Fedha zote za matibabu ya bure kwenye meli katoa rais Magufuli
Aisee wafafanuzi wa matamshi ya hao jamaa siku hizi mmekuwa wengi kama nitakuwa sijakunukuu vibayaMkuu msikilize tena Bashite vizuri halafu rejea tena haya madai yako...
Bashite amesema wananchi hawatalipia hii huduma hata senti moja. Kila kitu "kimelipiwa" na Rais Magufuli kutokana na uhusiano mzuri alioutengeneza na china
Kimantiki huo "uhusiano mzuri" ndio malipo anayomaanisha bashite katika muktadha ule