Ni enzi za ukweli na uwazi

Ni enzi za ukweli na uwazi

Si afadhali hapa hakuna mchina

Ndo maana DAB kasema kuwa kuna malipo lakini yameshalipwa tiyari. Msijedhani kuwa ni bure. Bure, yaani mafuta ya kuendesha limeli lote na madawa yao na wataalam bure!! Umeona wapi?? Mchagueni tena muone ka hataleta wataalam toka India bure mpasuliwe mioyo kivukoni. DAB oheyweeeyeeeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hii ni kashfa kubwa kwa Taifa hizi habari za bashite zikanushwe haraka sana na serikali.. Huduma hii ni ya bure... Wachina watajisikia vibaya na kutudharau wakisikia kuna hela ililipwa kwao ili iwatibu bure watanzania....
Siku hizi dunia iko kiganjani hii habari ukiweka wechat hata kwa kiswahili in a minute imeshatafsiriwa kwa kichina....
Bado mtu hatawajibishwa hapa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Lakini kauli ya RC ni nzito at any rate. Pengine hao wachina wamepewa rushwa!!
In that case wakirudi kwao watanyongwa.
 
Lakini kauli ya RC ni nzito at any rate. Pengine hao wachina wamepewa rushwa!!
In that case wakirudi kwao watanyongwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha somi ninalinifunza hapa kiongozi lazima uwapime unaowaongoza. Enzi ya Mwalimu tungeshaamini Ila dunia tuishio sasa hata usiyotegemea kujulikana yanajulikana
 
Back
Top Bottom