Kaka uongo ni asili yao toka uwajue kipi walifanya kilikuwa sahihi???View attachment 634475mnadanganya ili mpate nini?
Mkuu msikilize tena Bashite vizuri halafu rejea tena haya madai yako...
Bashite amesema wananchi hawatalipia hii huduma hata senti moja. Kila kitu "kimelipiwa" na Rais Magufuli kutokana na uhusiano mzuri alioutengeneza na china
Kimantiki huo "uhusiano mzuri" ndio malipo anayomaanisha bashite katika muktadha ule
0 + 0 = 0
0 ÷ 0 = 0
0 × 0 = 0
0 - 0 = 0
Hata MAGAZIJUTO imegoma
Masahihisho kidogo mkuu 0 ÷ 0 = Undefined0 + 0 = 0
0 ÷ 0 = 0
0 × 0 = 0
0 - 0 = 0
Hata MAGAZIJUTO imegoma
BASHITE ni zuzumagicBashite ameruka sarakasi akiwa amejifunga kipande cha kanga kiunoni bila nguo ya ndani.
Sio Tanzania tu ni ziara ya nchi marafikiKwa kweli mimi bado sina imani na moyo wangu haujataka kukubaliana na huo UBURE.najiuliza tu
~kwa nn bure?
~kwa nn tanzania?
~china hawana uhusiano na nchi nyingine?
Sina ninacho elewa kwa undani zaidi lkn najua kunamalipo nyuma ya pazia.wachina sio wajinga hiyo ni km biashara na hawawez kuifanya kwa hara.kesho watasema tuliwashukuru sn wachina
hahaaaaahaaaa0 + 0 = 0
0 ÷ 0 = 0
0 × 0 = 0
0 - 0 = 0
Hata MAGAZIJUTO imegoma