Ni Dr au ni Prof. Joyce Ndalichako?

Ni Dr au ni Prof. Joyce Ndalichako?

Alipojiuzuru kutoka baraza la mitihani akiwa Dr (PhD) alirudi chuo kiku kufundisha ambako kwa jitihada zake kitaaluma alipanda daraja hadi kuwa Professor (Prof). Kwa hiyo alipoteuliwa kuwa Waziri juzi tayari alishakuwa Prof.
Unaweza hata kushare tangazo la yeye kuwa promoted kuwa Associate Professor. Nakumbuka pale Mlimani (kama alirudi Mlimani) uwa wanatoa matangazo ya promotion kwenye notice board.
Nimeona pia kwamba alirudishwa Mlimani mwaka juzi (Agosti 2014). Nimejaribu ku-google scholar, nimeona ana andiko moja tu (mwaka 2015) na mawili ya hivi karibuni (2012 na 2013). Sasa kwa ninavyokumbuka, idadi hiyo ni ndogo sana kupata promotion ya kutoka Senior Lecturer kwenda kuwa Associate Professor.
 
Ndalichako kabla hajaondolewa NECTA October 2013 alichukua sabbatical leave but hakurudi UDSM kuna chuo alienda (sikumbuki) akawa boss akapata na Uprofessor ndio juzi ameteuliwa kuwa waziri
Chuo hicho kipo Tanzania? Na ni cha serikali ama binafsi? Mh! Nina mashaka na huo 'uprofesa' wake.
 
Sikumbuki jina la chuo lakini nina uhakika hakurudi UDSM
 
Unaweza hata kushare tangazo la yeye kuwa promoted kuwa Associate Professor. Nakumbuka pale Mlimani (kama alirudi Mlimani) uwa wanatoa matangazo ya promotion kwenye notice board.
Nimeona pia kwamba alirudishwa Mlimani mwaka juzi (Agosti 2014). Nimejaribu ku-google scholar, nimeona ana andiko moja tu (mwaka 2015) na mawili ya hivi karibuni (2012 na 2013). Sasa kwa ninavyokumbuka, idadi hiyo ni ndogo sana kupata promotion ya kutoka Senior Lecturer kwenda kuwa Associate Professor.
But Ndalichako alipata PHD mwaka 1997,unafikiri kuanzia 1997 hadi 2015 awe ame-publish hizo paper mbili tu ?
 
Hata hivyo duniani abbreviation ya Professor sio Pr

Unajua sikutarajia kuchangia ktk swali kama hili maana halinijengi chochote kichwani, maana lakini nasikitika kuona hata abbreviation ya professor inaandikwa vibaya eti Pr. RingaRinga nikadhani amekosea, mwingine el swaga tena akaandika pr lakini wote wamejiunga JF 2015. Mmoja july mwingine November.

Sasa najiuliza, hata kama hujawahi fikaa chuo kikuu, usomaji wetu kila siku ni kitu gani? nini tunasoma kila siku kiasi kwamba hatuwezi hata kujifunza maisha ya kila siku? Au haya mambo ya whatsapp na Instagram picture show?
 
Ndalichako kabla hajaondolewa NECTA October 2013 alichukua sabbatical leave but hakurudi UDSM kuna chuo alienda (sikumbuki) akawa boss akapata na Uprofessor ndio juzi ameteuliwa kuwa waziri
Amekuwaje Profesa ilhali amekuwa akifanya kazi nje ya Chuo Kikuu?

Hatutapata jibu sahihi kwa tofauti za ufahamu wetu, lakini mbona anaweza kujibu mwenyewe? kwa nini ajikweze bila sababu? Au naye kishafika level ya akina mulugo.

Watu wamejiita ma Dr wengine hadi ma Prof lakini naona polepole majina hayo yanapotea baada ya kuachia madaraka. Sifa za kijinga hizo!
 
Alipotoka necta alienda Aghakan akapewa uprofesa.
 
University of Dar Ed Salaam

BTW
Kuwa Associate Prof sio issue
Of course siyo issue kwenye vyuo vya kibongo, ambapo promotion criteria are jokes. Yaani vigezo vya promotion kwenye vyuo vya Tanzania ni vituko katika standard za kimataifa.

Lengo la maswali yangu ni kupenda kufahamu. Ndiyo maana nauliza. Nimeuliza alikuwa promoted lini na wapi: umesema UDSM, hujasema lini. Lakini kuna mtu anasema Ndalichako hakurudi UDSM baada ya kutoka NECTA. Sasa lipi ni lipi!
 
Unajua vetting/the whole Process ya mtu kuwa Prof?
Yeye kutokurudi UDSM na kuwa awarded u associate Proff na UDSM wapi na wapi Mpwa ?
 
Ndalichako kabla hajaondolewa NECTA October 2013 alichukua sabbatical leave but hakurudi UDSM kuna chuo alienda (sikumbuki) akawa boss akapata na Uprofessor ndio juzi ameteuliwa kuwa waziri
Alienda Aghakan kufundisha
 
But Ndalichako alipata PHD mwaka 1997,unafikiri kuanzia 1997 hadi 2015 awe ame-publish hizo paper mbili tu ?

Kwa taratibu za promotion zilizovyokuwa kwenye vyuo vya umma Tanzania, publications ambazo utumika katika katika maombi ya promotion ni zile zilizoandikwa na muombaji baada ya promotion yake ya mwisho. Kama amekuwa promoted kweli kuwa Associate Professor, inamaana alikuwa Senior Lecturer kabla. Sijui alikuwa promoted lini kuwa Senior Lecturer. Ina maana publications ambazo angepaswa kutumia kwa ajili ya maombi ya kuwa Associate Professor ni zile alizoziandika baada ya kuwa Senior Lecturer. Vile vile, publications ili zikidhi vigezo kwenye maombi muda zilipochapishwa una matter sana. Hivyo huwezi tu kutumia publications ulizoziandika mwaka 1997 kwa ajili ya kuomba promotion mwaka 2015! Utapataje promotion kwa kutumia outdated knowledge; kwani kwa asilimia kubwa, chapisho la mwaka 1997 halitakuwa na jambo lolote jipya kwa leo. Kwa hiyo haipo hivyo.

Kama kuna mtu ana CV kamili ya Ndalichako aiweke humu.
 
Ndalichako awa Profesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
 
Unajua vetting/the whole Process ya mtu kuwa Prof?
Yeye kutokurudi UDSM na kuwa awarded u associate Proff na UDSM wapi na wapi Mpwa ?
Kama umesoma nilichokisema na kuuliza toka mwanzo usingesema hayo. Mwanzo baada ya kusoma hii taarifa, nikauliza: "Amekuwaje Profesa ilhali amekuwa akifanya kazi nje ya Chuo Kikuu?"

Kisha nikajibiwa hivi: "Ndalichako kabla hajaondolewa NECTA October 2013 alichukua sabbatical leave but hakurudi UDSM kuna chuo alienda (sikumbuki) akawa boss akapata na Uprofessor ndio juzi ameteuliwa kuwa waziri"

Sasa sijui unachokisema wewe ni kipi?

By the way, nafahamu vigezo vya promotions UDSM. Kama ilivyo katika vyuo vikuu vingine duniani, publications matter. Tofauti ya UDSM na vyuo vikuu vyenye kuzingatia ubora ni idadi ya machapisho, aina ya machapisho na wapi yamechapishwa (majarida).
 
Sasa ulivyosema kawa promoted UDSM ulikuwa una bahatisha ama?
Kama promotion yenyewe ni ya Aga Khan wala sina haja ya kuendelea kujadili tena; maana huko, kama kulivyo kwenye private universities za Tanzania, vigezo vya promotion ni vibovu kuliko vya UDSM.
Mkuu
Una wivu wa Kike
 
Back
Top Bottom