Ni Dr au ni Prof. Joyce Ndalichako?

Ni Dr au ni Prof. Joyce Ndalichako?

RingaRinga

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,052
Reaction score
529
Nimeona kwenye taarifa ya habari Chanel 10,

Huyu mama amepanda daraja au ni makosa ya uandishi?
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari Chanel 10,

Huyu mama amepanda daraja au ni makosa ya uandishi?
 
Kashakua Prof? Basi anipe mimi huo uDokta mbona JK alipewa
 
Alipojiuzuru kutoka baraza la mitihani akiwa Dr (PhD), Joyce Ndalichako alienda kujiunga na Aga Khan University ambako alipandishwa cheo kitaaluma na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation and Measurement. Kwa hiyo alipoteuliwa kuwa Waziri juzi ametokea Aga Khan Univesity na tayari alishakuwa Associate Professor.
 
Last edited:
Alipojiuzuru kutoka baraza la mitihani akiwa Dr (PhD) alirudi chuo kiku kufundisha ambako kwa jitihada zake kitaaluma alipanda daraja hadi kuwa Professor (Prof). Kwa hiyo alipoteuliwa kuwa Waziri juzi tayari alishakuwa Prof.
Asante
 
Amekuwaje Profesa ilhali amekuwa akifanya kazi nje ya Chuo Kikuu?
Ndalichako kabla hajaondolewa NECTA October 2013 alichukua sabbatical leave but hakurudi UDSM kuna chuo alienda (sikumbuki) akawa boss akapata na Uprofessor ndio juzi ameteuliwa kuwa waziri
 
Last edited:
Back
Top Bottom