Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,276
Reaction score
3,011
Habari wakuu,

Leo naomba tuelezane diss track ambayo unaikubali kutoka kwa wasanii wetu wa Tanzania kutoka katika aina yoyote ya mziki kuanzia bongo fleva, taarabu, zouk, hip hop, dansi, singeli.

Kwa upande wangu diss track kali ya muda wote ni kutoka kwa Nick Mbishi aliyomdiss Ney wa Mitego (NEEMA WA MITEGO) mashairi yamepangiliwa vizuri, flow kali.

Tiririka na wewe unahisi ni diss track gani kali kwa upande wako.
 
Nikki mbishi - where s my crown..

Diss kwa Wakazi
Daaa wewe jamaa umenikumbusha mbali na hii ngoma, ahaaaaaaaaa "ukitaka battle nami kwanza vocal kaza* at least uwe hardcore kama coco braza*(kala pina) mc famba* mistari yako bikra mi nina big DICK stanza*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom