Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Kimsingi iwe ni kweli au si kweli itabaki kuwa Gwajima amedhalilika sana!
Na sisi tunataka kujua TCRA watuambie ni nani alofanya ule mchezo mchafu?
Na sisi tunataka kujua TCRA watuambie ni nani alofanya ule mchezo mchafu?