Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Sasa hata kama akiliamsha dude huyo mkewe na akafukuzwa ataenda kuolewa na nani labda?
Nilimuona askofu kakobe akiwa kwenye wakati mgumu sana kumtetea gwajima. Mwisho wa siku aliishia kumsifia mke wa gwajima kwamba ni strong woman kitu kinachodhihirisha lile tukio ni la kweli lakini mwanamama bado yuko strong kua upande wa gwajiboy.
 
Sometimes hapo wazungu wametuzidi. Akipata scandal kama hiyo atakuja mbele ya waandishi wa habari atakubali kosa lake then anajiuzulu mambo yanaishia hapo. Lakini hawa wa kwetu atabisha mpaka mwisho.
Ajiuzulu halafu haache kupata pesa za wajinga wajinga kirahisi ?
 
mwenye ako na yeny HD naomba ani PM maana ambayo nko nayo haionesh vuzur, pamoja na kuyalazamisha macho yangu yasome HD lkn cjaambulia kitu
 
NILIONA ILE VIDEO AKISEMA NI WIVU TU NDIO NIKACHOMEKEA HILO NENO
Ha...ha...ha...
Wengi hawataki kuonekana kwamba wameiona ile Video ya Askofu akiwa katika Active Action.
Mi niliiangalia mara nyingi kidogo ili kuhakiki uhalisia wake.
Sikuiangalia kwa ajiri ya kujiburudisha.
Mimi na jamaa zangu watafiti tukajiridhisha bila Shaka yoyote kuwa ile video ni halisi Kabisa na haija fojiwa.

Askofu ni lazima ajirekebishe kama anataka kuitwa Askofu.

Kukosea ni kwa sisi sote.
 
Nina uhakika Gwajima hamjui Mungu anayejidai kumtumikia kama Askofu.
Kama angelimjua asingelimdhalilisha kiasi hiki.

Hiyo ilikuwa ni Trela tu, kama ataendeleza hizo tabia zake basi litakuja kumfika kubwa kupita hili.
Hakika
Huyo anayemtumikia ni pesa.
 
Nahisi mkuu wa mkoa anawekeza kwenye kuwaingiza watu mkenge, halafu anawabana apate analotaka. Nahisi hata mteule wake hamfurukutii akiogopa ushetani aliyomtumia kuufanya usiwekwe hadharani.
 
Ha...ha...ha...
Wengi hawataki kuonekana kwamba wameiona ile Video ya Askofu akiwa katika Active Action.
Mi niliiangalia mara nyingi kidogo ili kuhakiki uhalisia wake.
Sikuiangalia kwa ajiri ya kujiburudisha.
Mimi na jamaa zangu watafiti tukajiridhisha bila Shaka yoyote kuwa ile video ni halisi Kabisa na haija fojiwa.

Askofu ni lazima ajirekebishe kama anataka kuitwa Askofu.

Kukosea ni kwa sisi sote.
Aisee kumbe basi kama ndio hivyo imemchafua
 
Jiulize mbona gwajima alikuja kwa mbwembwe kabisa eti Original east akamatwe, ushajiuliza why bado original east ndio anazid kupost wala hajagasiwa kwa lolote, ndio ujue waliomlipua Gwajima kwanza ni kundi la bashite ,pia wanazo file zake zaidi ya moja,

Hivo akileta fyokofyoko zinaachiwa nyingine, ndio maana aliwaahid waumin wake jumapili atamlipua aliyetrngeneza video, Je amemlipua nani? Ndio ujue kashaonywa akiendelea yatampata zaidi,

Sikweli Gwajima kapiga staili moja, lazima IPO video ndefu tu, na ukute katumiwa gwajima , ndio maana kawa mpole sana.
Kabisa nakubaliana na wewe --this time ameshikwa pabaya hahaa dah
 
Ila Gwajima alikula kitu kitamu sana aisee, wanaume wote baba yetu ni mmoja, ikifikia upande wa papuchi utukufu tunaweka pembeni aisee, bila papuchi wanaume tungelikuwa masonko.
Wakule Gwajizzo maisha yenyewe tunaishi mara moja.

Nilishangaa sana Gwajiboy kujitokeza hadharani na msululu murefu wa watu, akajipamba kwa maneno mureefu! Shutuma ya kiume ile haihitaji kujitetea.
 
"
Ni dhahiri hata waliofanya hii mission hawana video moja tu, maana wengi wanazungumzia video ya dk 1:37 , ya staili moja tu, huenda wanayo ndefu zaidi, "


Kwani mtoa mada si useme tu kwamba ni wewe mwenye hiyo video??

Halafu iweke basi hapa tuione!

Ila uno la gwajiboy kama feni mbovu hakianani gwajima kawadatisha wadada hahahah
 
Kama ile video ni ya kweli basi na Yule mwanamke asijidanganye akizani atabaki salama !
 
Back
Top Bottom