Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Sometimes hapo wazungu wametuzidi. Akipata scandal kama hiyo atakuja mbele ya waandishi wa habari atakubali kosa lake then anajiuzulu mambo yanaishia hapo. Lakini hawa wa kwetu atabisha mpaka mwisho.
 
Baada ya clip kuvuja ya gwajima akizini mchana kweupe, wengi walitegemea aje na ushahidi uliojaa kukana kuwa sio yeye, kwa hoja nzito nzito, lakini amejiabisha na amethibitisha ni yeye asilimia 100,

Kitendo cha kusema video ni fake, Mara wamepandikiza mkono na kiwiliwili ,imedhihirisha utetezi wake ni hafifu, tukilinganisha jinsi gwajima alivyo mropokaji na kujifanya mtu mwenye intelejensia Kali,

Kitendo cha kumualika kakobe ni kutafuta huruma na kuungwa mkono na viongozi wa dini ionekane ametengenezewa video,

Ukweli ni kwamba Gwajima ana rekodi chafu kuhusu wanawake , hivo alitumiwa mwanamke ambaye imechukua muda hadi anaingia kwenye mtego , ni dhahiri inaonesha Mwanamke Yule alikuwa kwenye mission na ameikamilisha , kwanza hakutaka Ku concentrate kwenye Camera, na ni dhahiri mwanamke ndiye alimshawishi wajirekodi then wataifuta, lakini kosa moja lilimgharimu gwajiboy,
Yawezekana alienda Bafuni na ndipo picha /video zikaamishwa huku kwenda huku, kifupi wali mblackmaail,

Kutunza heshima yake angekaa kimya ,maana kuongelea kujifanya ametengenezewa video ndio amethibitisha Ni yeye,

Ni dhahiri hata waliofanya hii mission hawana video moja tu, maana wengi wanazungumzia video ya dk 1:37 , ya staili moja tu, huenda wanayo ndefu zaidi, hivo Kitendo cha Gwajima yule aliyemfanya Bashite kumwaga chozi, kuwa mpole na kubaki kusema ni Fake ,mara wamepandikiza na baunsa, ni dhahiri Anajitilia aibu zaidi,

Teknolojia ya kuunga video kama ile ni ghali sana, ni huko movies za Hollywood , inasemekana kuunga kichwa na kiwiliwili ni karibu million 60,

Na ile video ni HD kabisa haina mafekefekeche,

Mange kimambi alitoa mtihan mmoja kuwa Gwajima aache kutafuta huruma kwa watu, ukweli ni yeye mwenyewe bila chenga,

Akatoa mtihan huu kama kuna MTU anaweza amtengenezee video yeye akifanya kama Gwajiboy atatoa $1000,

Nimalize kwa kusema Muaminini Mungu pekee , viongozi WA dini ni dhaifu kama sisi, tunasoma katika biblia hata manabii walikosea , Gwajima yeye nani asikosee?View attachment 1095906
Unasema teknolojia ya kuunga kichwa na kiwiliwili ni millioni 60 ,sasa hio ni ela nyingi sana ishindwe kutolewa? Nilifikiri bilioni 60. Hata millioni 600 watu wanaweza kutoa bado kutimiza malengo yao
 
Bashite sio mtu wa kukubali kushindwa kirahisi, Aliandaa kashfa ya gwajizo kuzaa nje ya ndoa ikafeli naona akaandaa bomu kubwa zaidi ..
 
Ila hata mimi Tomaso nimeanza kuamini baada ya kuoneshwa tu clip nyingine ambayo iko "clear" zaidi tofauti na niliyoiona awali. Kuna uwezekano kweli Askofu alitegeshewa maana yule mwanamke alikuwa hajishughulishi na chochote na alihakikisha hajulikuni sura yake kwa namna yoyote ile huku sura ya mtaalamu wetu ikionekana kwa uwazi zaidi.

Kama Samson na yale maguvu yake kwenye binlia aliweza kurubuniwa na Delila kwa sababu ya mapenzi, iweje Askofu anusurike? Hakika ukianzisha vita na Makoa basi utambue hiyo vita haina mwisho. Enzi zile alimchukulia ujiko sana jamaa yetu Daudi Albert Bashite! Sasa ni zamu yake kulipa.


Mkuu embu basi tuone nyingine 😋
 
Kwa yule dem hata mm ningekuwa baba askof ningehonga ile elikopta acha tu kuvijishwa
 
" Kama Unataka Kuwa Mkristo na Uwe Mkristo "

" Kama Unataka Kuwa Askofu na Uwe Askofu "

By, Timitope Bolougne Joshua.

Man of God Please Pray for Me.
 
Back
Top Bottom