Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Ila hata aweje, tunampenda mchungaji watu na tunae mchungaji lijali,, mungu kampa vyote
 
Swali linakuja je kama kweli huyo mwanamke yupo, je hakuogopa madhara ya Hilo tukio atakayopata toka upande wa gwajboy? Bado ukweli ni ngumu kupata katika hili tukio, sema washabiki wa upande mwingine mko wengi sana
 
Nilimuona askofu kakobe akiwa kwenye wakati mgumu sana kumtetea gwajima. Mwisho wa siku aliishia kumsifia mke wa gwajima kwamba ni strong woman kitu kinachodhihirisha lile tukio ni la kweli lakini mwanamama bado yuko strong kua upande wa gwajiboy.
 
Jiulize mbona gwajima alikuja kwa mbwembwe kabisa eti Original east akamatwe, ushajiuliza why bado original east ndio anazid kupost wala hajagasiwa kwa lolote, ndio ujue waliomlipua Gwajima kwanza ni kundi la bashite ,pia wanazo file zake zaidi ya moja,

Hivo akileta fyokofyoko zinaachiwa nyingine, ndio maana aliwaahid waumin wake jumapili atamlipua aliyetrngeneza video, Je amemlipua nani? Ndio ujue kashaonywa akiendelea yatampata zaidi,

Sikweli Gwajima kapiga staili moja, lazima IPO video ndefu tu, na ukute katumiwa gwajima , ndio maana kawa mpole sana.
[emoji23][emoji23] nilimshangaa jana kawa mpole vibaya sana
 
Nilimuona askofu kakobe akiwa kwenye wakati mgumu sana kumtetea gwajima. Mwisho wa siku aliishia kumsifia mke wa gwajima kwamba ni strong woman kitu kinachodhihirisha lile tukio ni la kweli lakini mwanamama bado yuko strong kua upande wa gwajiboy.
Kakobe amemaliza kesi jana unless kuna part 2 ya hiyo video
 
Ndio nashangaa original east anajitapa kabisa na siiu gwaji kaongea ndio kwanza orginal east anapost
Jiulize mbona gwajima alikuja kwa mbwembwe kabisa eti Original east akamatwe, ushajiuliza why bado original east ndio anazid kupost wala hajagasiwa kwa lolote, ndio ujue waliomlipua Gwajima kwanza ni kundi la bashite ,pia wanazo file zake zaidi ya moja,

Hivo akileta fyokofyoko zinaachiwa nyingine, ndio maana aliwaahid waumin wake jumapili atamlipua aliyetrngeneza video, Je amemlipua nani? Ndio ujue kashaonywa akiendelea yatampata zaidi,

Sikweli Gwajima kapiga staili moja, lazima IPO video ndefu tu, na ukute katumiwa gwajima , ndio maana kawa mpole sana.
 
Baada ya clip kuvuja ya gwajima akizini mchana kweupe, wengi walitegemea aje na ushahidi uliojaa kukana kuwa sio yeye, kwa hoja nzito nzito, lakini amejiabisha na amethibitisha ni yeye asilimia 100,

Kitendo cha kusema video ni fake, Mara wamepandikiza mkono na kiwiliwili ,imedhihirisha utetezi wake ni hafifu, tukilinganisha jinsi gwajima alivyo mropokaji na kujifanya mtu mwenye intelejensia Kali,

Kitendo cha kumualika kakobe ni kutafuta huruma na kuungwa mkono na viongozi wa dini ionekane ametengenezewa video,

Ukweli ni kwamba Gwajima ana rekodi chafu kuhusu wanawake , hivo alitumiwa mwanamke ambaye imechukua muda hadi anaingia kwenye mtego , ni dhahiri inaonesha Mwanamke Yule alikuwa kwenye mission na ameikamilisha , kwanza hakutaka Ku concentrate kwenye Camera, na ni dhahiri mwanamke ndiye alimshawishi wajirekodi then wataifuta, lakini kosa moja lilimgharimu gwajiboy,
Yawezekana alienda Bafuni na ndipo picha /video zikaamishwa huku kwenda huku, kifupi wali mblackmaail,

Kutunza heshima yake angekaa kimya ,maana kuongelea kujifanya ametengenezewa video ndio amethibitisha Ni yeye,

Ni dhahiri hata waliofanya hii mission hawana video moja tu, maana wengi wanazungumzia video ya dk 1:37 , ya staili moja tu, huenda wanayo ndefu zaidi, hivo Kitendo cha Gwajima yule aliyemfanya Bashite kumwaga chozi, kuwa mpole na kubaki kusema ni Fake ,mara wamepandikiza na baunsa, ni dhahiri Anajitilia aibu zaidi,

Teknolojia ya kuunga video kama ile ni ghali sana, ni huko movies za Hollywood , inasemekana kuunga kichwa na kiwiliwili ni karibu million 60,

Na ile video ni HD kabisa haina mafekefekeche,

Mange kimambi alitoa mtihan mmoja kuwa Gwajima aache kutafuta huruma kwa watu, ukweli ni yeye mwenyewe bila chenga,

Akatoa mtihan huu kama kuna MTU anaweza amtengenezee video yeye akifanya kama Gwajiboy atatoa $1000,

Nimalize kwa kusema Muaminini Mungu pekee , viongozi WA dini ni dhaifu kama sisi, tunasoma katika biblia hata manabii walikosea , Gwajima yeye nani asikosee?View attachment 1095906
Freemasons kazini
 
Mange nae sasa watamblack mail vipi tena na tushakataa Mashtaka dhidi ya Mzee bila vinywa vya mashaidi wawili au watatu
 
Jiulize mbona gwajima alikuja kwa mbwembwe kabisa eti Original east akamatwe, ushajiuliza why bado original east ndio anazid kupost wala hajagasiwa kwa lolote, ndio ujue waliomlipua Gwajima kwanza ni kundi la bashite ,pia wanazo file zake zaidi ya moja,

Hivo akileta fyokofyoko zinaachiwa nyingine, ndio maana aliwaahid waumin wake jumapili atamlipua aliyetrngeneza video, Je amemlipua nani? Ndio ujue kashaonywa akiendelea yatampata zaidi,

Sikweli Gwajima kapiga staili moja, lazima IPO video ndefu tu, na ukute katumiwa gwajima , ndio maana kawa mpole sana.
Na hata ile kakobe kwenda kule ni moja ya maelekezo ya namna ya kukaa kimya?ati uskubali mashtaka ya mzee?mzee my foot kile kinyegeliko kama vinyegezi vingine tu!
 
Back
Top Bottom