Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

Mimi nimvivu wakula, ila linapokuja swala la makande ya mahindi mabichi na maharage, naweza kula hata mwaka mzima.
 
Asubuhi Supu chapati mbili,mchana mtindi na usiku wali + maharage kidogo mboga za majani ,samaki wakukaanga na ndizi mbivu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…