MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,269
- 2,484
Kule kupora pesa halali za watu ni kufanya nini!?JPM alikuwa mkali wala hakuwa dikteta, maana alikuwa pale ikulu kwa mujibu wa sheria, pale Chadema watu wana ndimi mbili ukiletewa maneno waliosema Lowassa alipokuwa ccm, ni tofauti na waliosema lowassa alipokuwa mgombea wao, cha ajabu eti nao wanawaita wengine ni wanafiki hatari sanaaaaaaa