Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

Mbona unanihukumu ?? Mie nililijua hilo ndio sababu nikaamua kuchukua wa darasa la nne B, maisha yanaendelea ,
Hao ma degree holders ikitokea sanaa atapata hadhi ya mchepuko with no strings attached ,
Kikubwa anapata anachotaka kwako huyo mchepuko (pesa na vitu vingine) haina tatizo mbona lol,
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Kabisa yaani
 
Tuwachukue mara ngapi mkuu,nina experience na wana vyuo maana nilikuwa nao huko na nilipatwa na pia mitaani wengi wanaugulia na wasomi.

Ukitaka wasomi ni aidha ukubari kuondoa dominance ya mwanaume au uwe na pesa twice yake na pia itategemeana maana ni shidaa,sas kuliko ligi ndani si bora Hg ukikohoa tu awe anashtuka.
Sasa kama haya yote mnayajua na mnayafanya kelele hizi za nini? Kaeni kwa kutulia basi khaaaah.
 
Kikubwa anapata anachotaka kwako huyo mchepuko (pesa na vitu vingine) haina tatizo mbona lol,
There you are, hiyo ndio rangi halisi ya wanawake wasomi wetu, pesa pesa pesa !!! Bahati mbaya pesa sio kila kitu. Wenye kujua kucheza na nyie wanawazalisha na kuwaacha mnalea by the time upo 40 thamani huna tena
 
Ukiona wanaume wanalalamika sana kuhusu wanawake ujue wewe bado mvulana hujawa mwanaume. Wanaume wanajua kukaa na aina zote za wanawake na sio wasichana. Kwa hiyo jamani wanaume mkae na wanawake kwa akili na sio kwa kumchambua sijui hafui nk. Fundisheni watoto wenu wa kike na wakiume kuwa wanaume na wamama ili kila mtu asimamie majukumu yake.

Mimi nimesoma nina PHD, mume hana na sina house girl napika,nafua, napasi nk huu mwaka wa 20 sasa nina watoto mpaka wamefika chuo nao kila mmoja ana majukumu yake nyumbani na sina dada wa kazi wala kijana wa kazi sijui na nyumba ina bustani, ina wanyama, ina kila kitu. Ni kujipanga tu na familia. Natamani niwe nafundisha watoto wa kike jinsi ya kuwa submissive lakini kuendelea kuilinda heshima yako.

Mwanamke tawala nyumba yako kwa usafi, chakula kizuri kwa familia (ikiwezekana pika kwa mikono yako miwili) nk. Huwa nikifika getini u bosi wangu unaishia nje na hakuna ndani mtu anajua mimi ni bosi sijui nini wanaona kwenye makaratasi tu na labda treatment ninazopata za ofisi ambazo wote tuna enjoy. Naishia hapo.
 
Ukiona wanaume wanalalamika sana kuhusu wanawake ujue wewe bado mvulana ujawa mwanaume.Wanaume wanajua kukaa na aina zote za wanawake na sio wasichana.Kwa hiyo jamani wanaume makae na wanawake kwa akili na sio kwa kumchanbua sijui hafui nk.Fyndisheni watoto wenu wa kike na wakiume kuwa wanaume na wamama ili kila mtu asimamie majukumu yake.Mimi nimesoma nina PHD mume hana na sina house girl napika,nafua,napasi nk huu mwaka wa 20 sasa nina watoto mpaka wamefika chuo nao kila mmoja anamajukumu yake nyumbani na sina dada wa kazi wala kijana wa kazi sijui na nyumba inabustani,ina wanyama ,ina kila kitu.Nikujipanga tu na familia.Natamani niwe nafundisha watoto wakike jinsi ya kuwa submissive lakini kuendelea kuilinda heshima yako.Mwanamke tawala nyumba yako kwa usafi,chakula kizuri kwa familia (ikiwezekana pika kwa mikono yako miwili) nk.Huwa nikifika getini u bosi wangu unaishia nje na hakuna ndani mtu anajua mimi ni bosi sijui nini wanaona kwenye makaratasi tu na labda treatment ninazopata za ofisi ambazo wote tuna enjoy.Naishia hapo.
Hongera Sana Mama
 
Mada za wavulana kulia lia humu zimezidi kwanini wanaume wasikuhizi mna inferiority complex, huko tuendako na dunia kubadilika kila mtu atachakarika na sikuhizi shule ni lazima kwa watoto wote hadi form four, sasa mnaotaka kuoa wasio na shule mtafanyaje. Narudia kusema wavulana wa humu jirekebishe maisha yamebadilika acheni kulia lia na ujinga mbona wanawake hatulalamiki, naomba serikali ianzishe dawati la jinsia la wanaume na muanzishwe men empowerment this is too much
 
Tatizo huanzia kwenye swali kwanini unaoa? Na unayemuoa naye ana swali kwanini anaolewa? Majibu ya haya maswali ndiyo yanaleta shida kwenu vijana wa kisasa.

KIJANA UNA DIPLOMA/DEGREE UNATAKA KUWA NA MKE USIFIWE UNA MKE MZURI ANA ELIMU HAPO HAPO UNAOA ILI UPIKIWE NA UFULIWE HAPO HAPO HUNA KAZI YENYE KIPATO CHA MAANA HALAFU UNATAKA KUWA MWINYI NDANI KUWA UKIKOHOA MKE APANDWE NA BP.
Dah, umeuwa!!!!!!
 
Hongera Sana Mama
Asante, wanawake tuache viburi vizivyo na msingi. Kwenye masuluhisho mengi ya ndoa unakuta watu wengi hawajui kutumia muda wao vizuri. Ukigawanya 24 hrs toa 8hrs za kulala. Jamani unafanya mambo mengi sana ukiwemo kujiingizia kipato. Natamani nifundishe sana lakini muda pia wa ziada sina sana.

Ila kuna siku nitafungua uzi wa kuelimishana. Mungu pia lazima awe kipaumbele chetu ili haya yote tuyashinde(Sio lazima ukashinde kanisani au msikitini) la hasha ni kuhakikisha asubuhi mkiamka saa 11 familia mnasali kama ni Wakristo na waislam pia. Mnaambiana changamoto au malengo ya siku kwa dakika mbili mnaanza kazi au mnaendelea na mlichokubaliana. Familia nyingi hazina utaratibu kitu kinachopelekea watoto wengi wavulana na wasichana kuona majukimu fulani fulani ni ya wadada wa kazi na haya mengine ni ya watoto nk. Msiwazoeshe watoto kuona kazi za nyumbani kuna mtu anaajiriwa kuwafanyia mnajenga kizazi cha wamama watakao wategemea wadada wa kazi kwa kila kitu.
 
Ukiomba unyumba unaambiwa niko period wakati unajua kabisa hayuko period, ukifosi unaambiwa chomeka au weka, unapiga yeye yuko kimya kama kwamba umelala na gogo

Baadae, unaulizwa, umemaliza? Kidume unampelekea moto hata kama kwenye K ni pakavu, acha achubuke, atajijua mwenyewe! Wanakera sana
Dawa ya mwanamke na mwanamke mwenzie.. K zimeisha nje huko hata ut.ombe gogo?🙄
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Mwanao wa kike usimpeleke shule, aje house girl/ mfanyakazi wa ndani ili apate Mume wa Kumuoa. Usikubali kabisa mwanao wa kike kuwa one of the Modern Women unaowaelezea hapo juu.
 
Kuishi na mwanamke ni kazi kubwa sana kuliko kutafuta pesa!! Hata ukioa house girl ambae hajui kusoma wala kuandika baadae ataota mapembe tu!! Dawa moja tu zalisha kusanya watoto.. Ishi nao ukifikisha miaka 40+ huna haja ya kuishi na mwanamke mtafute single mama anakaa kwake na wewe kwako mnatembeleana tu kusogeza siku!
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Ndio unajua leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa haiwezi kudumu hata siku moja ikiwa 50/50. Mke anatakiwa kuwa Submissive (Mnyenyekevu) kwa Mume wake, kwa sababu asili ya Mwanaume ni Dominance (Kutawala).

Na ifahamike kuwa hakuna utawala wowote Duniani unaokubaliana na ubishi/upingamizi wa ndani. Yani Mfano MwanaCCM apinge hoja ya Magufuli. Nafikiri mnajua kitakachofuata. Yatamkuta kama yaliyomkuta Membe. Hata Trump nadhani mliona alichokua anawafanyia republicans waliokua wanaonesha kupishana naye (anawafukuza kazi).

Sasa nirudi kwenye point. Ina maana kumbe ili Dominance ifanye kazi, lazima mtawala awe juu ya anaowatawala kimamlaka, kimaamuzi na kimkakati. Sasa ikitokea unaemtawala yuko 50/50 na wewe ina maana muda wowote anakupindua. Na ndio kinachotokea sasa hivi kwenye mahusiano mengi. Demu akishaanza kuwa mbishi mbishi, lazima Mwanaume amuone threat kwenye Dominance yake. Na tunachofanya wanaume ndicho kinachofanywa na watawala wote Duniani. To get rid of threat! Yes, tunakuepuka kwa gharama zozote zile hata kama ni kukuachia mtoto.

La mwisho, Ni vizuri Mwanamke ukajua nafasi yako kwa Mumeo,

"Kumsaidia yeye kufikia Malengo yake na kuhakikisha hajikwai katikati ya Safari"

Ukiyasimamia hayo hapo juu kwa moyo wako wote, hakika mahusiano yenu yatadumu. Lakini ukishaanza egoistic hashtags za #iChasemyOwnPaper #myLifemyChoices #QueenOfmyOwnEmpire; utabaki na hizo "My" zako.

P.S. Nimelenga zaidi wanawake wanao amini katika Ndoa au wanaotamani kudumu na wenza wao katika mahusiano. Nyie wa haki sawa na 50/50, subirini bandiko lenu siku nyingine.

Bulalifuuuuuu!
Umefunga uzi bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom