Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

Hiki uliloekezea hapa ni sahihi na naamini wanaume wengi wanalielewa , kuna Siku kadhaa katika mzunguko wa mwezi mambo ya game yanakuwa hayawezekani
Modern women's goes beyond that , mfano hapo juu jamaa kautoa umerudi job mwanamke bado yupo kwenye foleni anatoka kazini , akiruid ni usiku na amechoka anafikia kitandani , anawaza Siku ya pili ataianzaje na anajua itaisha kama hiyo ya leo , huyu mtu hata game ukiomba unamuonea tu , amechoka kama ulivochoka wewe , ni katika muktafha huu ndio mada imejikita , modern women hawafit vizuri kwenye nafasi ya mke .
Kwani game inamhusisha mwanaume pekee?
 
Dawa ni kuwa na hela ili upunguze kuwa baba wa nyumbani na kufocus zaidi na majukumu yako.

Ikiwa hivyo sidhani kama utapata hata muda wa kubishana na mkeo. Shida unakuta mwanaume saa kumi na mbili jioni uko nyumbani mkeo anaosha vyombo uko pembeni yake kwanini isifike hatua akuambie naomba nisaidie kusuuza hivyo vyombo nikaangalie mboga.

Sifa ya mwanaume ni kuwa busy na mambo ya kimaendeleo na sidhani itatokea hata ukapata na muda wa kumchambua mkeo
 
Dawa ni kuwa ba hela ili upunguze kuwa baba wa nyumbani na kufocus zaidi na majukumu yako

Ikiwa hivyo sidhani kama utapata hata mda wa kubishana na mkeo
Shida unakuta mwanaume saa kumi na mbili jioni uko nyumbani mkeo anaosha vyombo uko pembeni yake kwanini isifike hatua akuambie naomba nisaidie kusuuza hivyo vyombo nikaangalie mboga

Sifa ya mwanaume ni kuwa busy na mambo ya kimaendeleo na sidhani itatokea hata ukapata na mda wa kumchambua mkeo
Katika jina la uanaume tunakwenda mbali sana. Wanaume tumejiweka as if sisi ni specie tofauti kabisa na wanawake na inatucost parefu sana hii bila sie wenyewe kujua. Mtaa ninaoishi nyumba nane wanaume wametangulia mbele ya haki, hii ni time frame ya Miaka mitano tu.

Leo hii corona inaondoka na wanaume kwa kiasi kikubwa kuliko wanawake, sababu kuu ni kuwa tunajiona super men's kuliko wenzetu. Kwa context yako mwanaume anatakiwa asirudi mapema nyumbani , msibani asilie hata kama ni mtu wa karibu , avumilie njaaa na magumu yake na hata akiwa mgonjwa ajikaze , hii yote inashusha sana immune zetu na kutuongezea stress kwenye miili yetu, na nidio sababu kubwa ya kwa nini tunatangulia kaburini.
 
Inategemea na nature ya mtu haijalishi elimu wala nini, hata huyo beki 3 ukishakuwa mjanja anaweza kukuzingua vile vile.
 
Mfanyakazi wa ndani anafaaa kuwa mke..na Fatma Dewji anafaa kuwa mke...

Chukua SAIZ YAKO
 
Hapana....kwa mwanamme kuendeshwa na mwanamke ni kwamba hauna kitu lazima uendeshwe......mimi kama mkongwe kwenye ndoa nawashauri wanaotaka kuoa wasioe corporate ladies , au modern ladies unaweza ukapata kichaa au ukafa kwa presha au ukaua ukapata murder case.....sasa hivi hakuna mwanaume anayejitambua anayeoa hao washenzi ,ukisikia corporate/modern lady kaolewa ujue yeye ndiye ameoa marioo
As long as you cant afford her usioe kabisa
 
Hapana....kwa mwanamme kuendeshwa na mwanamke ni kwamba hauna kitu lazima uendeshwe......mimi kama mkongwe kwenye ndoa nawashauri wanaotaka kuoa wasioe corporate ladies , au modern ladies unaweza ukapata kichaa au ukafa kwa presha au ukaua ukapata murder case.....sasa hivi hakuna mwanaume anayejitambua anayeoa hao washenzi ,ukisikia corporate/modern lady kaolewa ujue yeye ndiye ameoa marioo
Natuma Suma JKT waje wakulinde
 
Ndoa haiwezi kudumu hata siku moja ikiwa 50/50. Mke anatakiwa kuwa Submissive (Mnyenyekevu) kwa Mume wake, kwa sababu asili ya Mwanaume ni Dominance (Kutawala).

Na ifahamike kuwa hakuna utawala wowote Duniani unaokubaliana na ubishi/upinzani wa ndani. Yani Mfano MwanaCCM awe ana tabia ya kupishana na hoja za Magufuli. Nafikiri mnajua kitakachofuata. Yatamkuta kama yaliyomkuta Membe. Hata Trump nadhani mliona alichokua anawafanyia republicans waliokua wanaonesha kupishana naye (anawafukuza kazi/ anawavua wadhifa aliowapa).

Sasa nirudi kwenye point. Ina maana kumbe ili Dominance ifanye kazi, lazima mtawala awe juu ya anaowatawala kimamlaka/kimaamuzi. Sasa ikitokea unaemtawala yuko 50/50 na wewe ina maana muda wowote anakupindua. Yani Mume unageuzwa Mke ndani ya ndoa yako. Na hawa kina dada saivi ukikubali wakukalie kichwani lazima wakunyooshe. Sasa kinachotokea sasa hivi kwenye mahusiano mengi, Mwanamke akishaanza kuwa mbishi mbishi, lazima Mwanaume amuone threat kwenye Dominance yake. Na tunachofanya wanaume ndicho kinachofanywa na watawala wote Duniani. To get rid of threat! Yes, tunakuepuka kwa gharama zozote zile hata kama ni kukuachia mtoto.

La mwisho, Ni vizuri Mwanamke ukajua nafasi yako kwa Mumeo,

"Kumsaidia yeye kufikia Malengo yake na kuhakikisha hajikwai katikati ya Safari"

Ukiyasimamia hayo hapo juu kwa moyo wako wote, hakika mahusiano yenu yatadumu. Lakini ukishaanza egoistic hashtags za #iChasemyOwnPaper #myLifemyChoices #QueenOfmyOwnEmpire; utabaki na hizo "My" zako.

P.S. Nimelenga zaidi wanawake wanao amini katika Ndoa au wanaotamani kudumu na wenza wao katika mahusiano. Nyie wa haki sawa na 50/50, subirini bandiko lenu siku nyingine!
Umezungumza vyema

Big up sana
 
Ulitaka tushinde na mapanga mikononi? wanawake wa zama hizi ni mitahani mizito kwa kweli
masculity nikushinda panga mkononi? mtu unataka haki sawa mkeo mgawane majukumu ya kiuchumi huku ukimwachia majukumu mengine peke yake na unategemea kuheshimika kama mwanaume?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom