Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia

MTOA MADA APEWE ULINZI NA SUMA_JKT.

AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU WALOKOLE??
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Ni vizuri kumwelewa mwanamke ni nani? Huyo beki tatuni mwamke pia, anafanya vizuri kwa sababu ya nafasi aliyonayo kama domestic worker, ukimfaya mke huyo ni mbaya zaidi ya mke mwenyewe. Atakupeleka kasi ya jet, utaleta ushuhuda hapa.

Cha kufanya weka vigezo na masharti ya mwanamke unayemtaka, weka mezani muelewane. vinginevyo, wanaume mmepoteza nafasi zenu kwenye familia.
 
We oa beki tatu waache wenzio waendelee kudeal na wenye Masters na PhD 😅🤓
 
Tatizo huanzia kwenye swali kwanini unaoa? Na unayemuoa naye ana swali kwanini anaolewa? Majibu ya haya maswali ndiyo yanaleta shida kwenu vijana wa kisasa.

KIJANA UNA DIPLOMA/DEGREE UNATAKA KUWA NA MKE USIFIWE UNA MKE MZURI ANA ELIMU HAPO HAPO UNAOA ILI UPIKIWE NA UFULIWE HAPO HAPO HUNA KAZI YENYE KIPATO CHA MAANA HALAFU UNATAKA KUWA MWINYI NDANI KUWA UKIKOHOA MKE APANDWE NA BP.
Ongezea: Kijana hana Range Rover, Toyota Prado wala Ka Nissan Porte, hana vyanzo vizuri na imara vya kipato
 
Kwahiyo mtoto wa kike asisome??
kwahiyo mtoto wa kike asipewe nafasi katika jamii??
Kitu kikubwa ni malezi, yaani mtoto wa kike anapaswa kuandaliwa kuwa mke/mama bora tangu akiwa mtoto mdogo.
Si kwa kizazi hiki cha nyoka labda hiki kizazi kipite kije kipya kabisa
 
Juzi tu ulisema pesa kwako sio kigezo
Leo umedai pesa

Kweli kila shetani na mbuyu wake:D:D:D
Wewe ndo hujaelewa context ya comments kwenye huu uzi. Kila uzi utajibiwa kulingana na muktadha wake so usibadilishe Mambo hapa
 
Ni vizuri kumwelewa mwanamke ni nani? Huyo beki tatuni mwamke pia, anafanya vizuri kwa sababu ya nafasi aliyonayo kama domestic worker, ukimfaya mke huyo ni mbaya zaidi ya mke mwenyewe. Atakupeleka kasi ya jet, utaleta ushuhuda hapa.

Cha kufanya weka vigezo na masharti ya mwanamke unayemtaka, weka mezani muelewane. vinginevyo, wanaume mmepoteza nafasi zenu kwenye familia.
Hakika kabisa.
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Ishi na mwanamke kwa akili sana... Hata huyo unayemuita beki tatu siku atakayogundua udhaifu wako, hapo ndio mwanzo wa kuweweseka kila siku.
 
Ongezea: kijana hana Range Rover, Toyota Prado, wala Ka Nissan Porte, hena vyanzo vizuri na imara vya kipato
Umenena dada, tatizo form four leavers na house girls wengi hawajiheshimu linapokuja kwenye mapenzi. Wengi wanaliwa na boda boda na wauza urembo, duka, magenge au wakopesha vyombo. Utashangaa heshima yako inashuka ghafla mtaani kisa? Umeoa mgawaji ukiwa upo kazini.

Cha msingi ni kuomba Mungu linapokuja suala la kumpatia mwanamke sahihi katika ndoa.
brother unanichekesha Sana, kwa hiyo ni bora huyo mwenye diploma/degree anayeliwa na bosi wake ofisini au akiwa trip ya kikazi kwa sababu bosi wake ana status kubwa kuliko bodaboda?!!

Ukiongelea suala la kuchepuka ni hulka ya mtu mwenyewe bila kujali level yake ya elimu na maumivu yake kwa anayesalitiwa hayana utofauti

Kusema ukweli wanaume waliooa wanawake wa wakawaida (form four leavers) wanafurahia Sana maisha ya ndoa kuliko waliooa hao modern women.

Raha ya mwanaume urudi nyumbani ukute mke ameandaa mazingira mazuri ya kukupokea, chakula kipo tayari, stori za hapa na pale huku ukipewa pole nyingi za kazi, baadae mida ya kulala unapewa game bila masharti yeyote, tena yeye ndo anakuhamasisha.

Lakini siyo unarudi nyumbani unakutana na house girl ndiye anakupokea, anakutengea chakula nakadhalika, hapo mke hajarudi bado yupo kwa foleni.

Akifika yuko hoi na stress kibao za kazini, hapo hata stori hamna, mkifika kitandani kila mtu anageukia upande wake, good night!!
Mzee game unapewa wikendi kwa wikendi.

Ndiyo maana kesi nyingi za wanaume kutembea na mahouse girl ni kwa hao waliooa modern women. Mwanaume aliyeoa kupitisha wiki nzima hajapata game ni mtihani mkubwa.
 
Wanaume fanyeni mkakati wa kuwaelewa wanawake au wake zenu mliioa. SIsi mambo mengi sana, kuna issue ya hormones, kuna issue ya period (siku za mwezi), haya mambo yakimix ni hatari. Kunyimwa game si kwamba anapenda sometimes, ni hali tu ya mabadiliko ya mwili. Kama hujaelewa hii kitu unaweza dhani mkeo ana shetani.

Siku za period zikikaribia, anaweza poteza hamu ya ya tendo la ndoa, unaweza kuwa hasira zisizo na sababu, unaweza piga watoto au kufoka hovyo. Ni mwanamke ajiongeze akwambie hali inayomsibu au wewe kama mwanaume usome alama za nyakati.
 
Hiki uliloekezea hapa ni sahihi na naamini wanaume wengi wanalielewa, kuna Siku kadhaa katika mzunguko wa mwezi mambo ya game yanakuwa hayawezekani.

Modern women's goes beyond that, mfano hapo juu jamaa kautoa umerudi job mwanamke bado yupo kwenye foleni anatoka kazini, akirudi ni usiku na amechoka anafikia kitandani, anawaza Siku ya pili ataianzaje na anajua itaisha kama hiyo ya leo, huyu mtu hata game ukiomba unamuonea tu, amechoka kama ulivochoka wewe, ni katika muktadha huu ndio mada imejikita, modern women hawafit vizuri kwenye nafasi ya mke.
 
brother unanichekesha Sana, kwa hiyo ni bora huyo mwenye diploma/degree anayeliwa na bosi wake ofisini au akiwa trip ya kikazi kwa sababu bosi wake ana status kubwa kuliko bodaboda?!!

Ukiongelea suala la kuchepuka ni hulka ya mtu mwenyewe bila kujali level yake ya elimu na maumivu yake kwa anayesalitiwa hayana utofauti

Kusema ukweli wanaume waliooa wanawake wa wakawaida (form four leavers) wanafurahia Sana maisha ya ndoa kuliko waliooa hao modern women.

Raha ya mwanaume urudi nyumbani ukute mke ameandaa mazingira mazuri ya kukupokea, chakula kipo tayari, stori za hapa na pale huku ukipewa pole nyingi za kazi, baadae mida ya kulala unapewa game bila masharti yeyote, tena yeye ndo anakuhamasisha.

Lakini siyo unarudi nyumbani unakutana na house girl ndiye anakupokea, anakutengea chakula nakadhalika, hapo mke hajarudi bado yupo kwa foleni.

Akifika yuko hoi na stress kibao za kazini, hapo hata stori hamna, mkifika kitandani kila mtu anageukia upande wake, good night!!
Mzee game unapewa wikendi kwa wikendi.

Ndiyo maana kesi nyingi za wanaume kutembea na mahouse girl ni kwa hao waliooa modern women. Mwanaume aliyeoa kupitisha wiki nzima hajapata game ni mtihani mkubwa.
Boda Boda na wanawake ni dam damu, hakuna watu wanapata wanawake kiulaini kama Boda Boda. Boda ana quick cash, anajua machimbo ya kujificha na sometimes anaweza kutunukiwa tu tunda kwa kujua details za mwanamke husika.
Wakati modern women's ni chakula ya mabosi na supervisors huko maofisini, haimaanishi kuwa wapo immune na Boda Boda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom