Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

kilio cha wengi wetu cc wanawake ni uzinzi ulopitiliza kwa wanaume mengine yote yanazungumzika wanaume mmeumbwa mwanaume mmoja awe na wanawake 10 shida inaanzia hapo kwenye maumbile, hako katabia ni ka maumbile shida si usomi, kama unaona mkeo msomi anakusumbua watoto wako wa kike piga chini wasiende clasi maana watasumbua wakwezo!!!!!
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Ni kweli kabisa hawa watu ni shida wasumbufu hasa ukimpata ambaye aliwahi kuvuta bangi dah
 
kilio cha wengi wetu cc wanawake ni uzinzi ulopitiliza kwa wanaume mengine yote yanazungumzika wanaume mmeumbwa mwanaume mmoja awe na wanawake 10 shida inaanzia hapo kwenye maumbile, hako katabia ni ka maumbile shida si usomi, kama unaona mkeo msomi anakusumbua watoto wako wa kike piga chini wasiende clasi maana watasumbua wakwezo!!!!!
 
Kumbe hili mnalijua eeh.
Not ina good way though!!! Maana linauangaza sana umasikini wetu
Unaingiliaje ndoa za wenzako just because ulisomesha na ni jukumu lako?
Ushamba huu huko mbele utatoweka kabisa elimu itakapokuwa popular kwa wanawake
 
Dapilly
Overtime hili swala litapotea tu na mtarudi kwenye mstari , elimu kwa mwanamke ndo inachipukia
Ni kama Miaka ya Kati mabasi ya kwenda lindi yalivyokuwa machache , ilikuwa tunalipishwa had suit cases uliyobeba, leo hii anagalia mabasi hayo hayo yapo busy ku advertise how many kilograms of luggages they offer for free.
Muda tu mtarudi relini kwa sasa acha watu wa survive na plan b
 
Hiki uliloekezea hapa ni sahihi na naamini wanaume wengi wanalielewa, kuna Siku kadhaa katika mzunguko wa mwezi mambo ya game yanakuwa hayawezekani.

Modern women's goes beyond that, mfano hapo juu jamaa kautoa umerudi job mwanamke bado yupo kwenye foleni anatoka kazini, akirudi ni usiku na amechoka anafikia kitandani, anawaza Siku ya pili ataianzaje na anajua itaisha kama hiyo ya leo, huyu mtu hata game ukiomba unamuonea tu, amechoka kama ulivochoka wewe, ni katika muktadha huu ndio mada imejikita, modern women hawafit vizuri kwenye nafasi ya mke.
Mimi sidhani kukaa kwenye foleni Kama kunaweza kukufanya usitoe tendo la ndoa. Kuna sehemu hatufafanui vuzuri. Hilo tendo la ndoa ni dakika ngapi. Ni kutengeneza mazingira mazuri ili mfurahie. Vinginevyo mnakula ma hg kwa sababu mnapenda
 
It depends, mimi katika vitu siangaliagi ni elimu awe na elimu asiwe na elimu sawa tu ilimrdadi nimpende tu
Kunawanawake hata ukiwapenda katu huwezi kuwa nao....So kila mtu huwa anaenda kwa saiz yake...

Wewe mwajuma wa Manzese umempenda kwasababu ndo saiz yako .....Sidhani kwamba Ulimpenda kwakua kafeli form four.....anawezekana akawa Ni mzuri wa sura au Tabia...au anajua kukatika...au kakuroga...TU
 
Halafu mkishawao hao, wakisha wazalia tu mnaanza kuwa nyanyasa huna elimu mie msomi, na mnajua hawezi jipambania ni ndiyo Baba mboji, lakini hawa wakuhoji mbona umechelewa, kwanini ulale nje hamtaki!
 
Not ina good way though!!! Maana linauangaza sana umasikini wetu
Unaingiliaje ndoa za wenzako just because ulisomesha na ni jukumu lako?
Ushamba huu huko mbele utatoweka kabisa elimu itakapokuwa popular kwa wanawake
Sawa tyuuh, ila kwa sasa tuishi humo.
 
Halafu mkishawao hao, wakisha wazalia tu mnaanza kuwa nyanyasa huna elimu mie msomi, na mnajua hawezi jipambania ni ndiyo Baba mboji, lakini hawa wakuhoji mbona umechelewa, kwanini ulale nje hamtaki!
Kabisaaaaah yaan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom