mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,852
Tatizo lenu.
Baby baby nyingi ndio maana wanawadharau.
Baby baby nyingi ndio maana wanawadharau.
Weka utaratibu wa ku deal nao hapa,Kama ni modern man u need a modern woman ..ni jinsi ya kudeal nao ndio wengi inawashinda!..tuishi nao kwa akili tu
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Hao Malaya wa huko kwenye mavyuo hamuwaoni wakiliwa kwa kujiuza? Katika watu wasio na staha ni wasomi, bora hao house girl au wanawake wasiosoma kuliko wadangajiUmenena dada, tatizo form four leavers na house girls wengi hawajiheshimu linapokuja kwenye mapenzi. Wengi wanaliwa na boda boda na wauza urembo, duka, magenge au wakopesha vyombo. Utashangaa heshima yako inashuka ghafla mtaani kisa? Umeoa mgawaji ukiwa upo kazini.
Cha msingi ni kuomba Mungu linapokuja suala la kumpatia mwanamke sahihi katika ndoa.
Sio rahisi akiolewa hiyo huwa kabla kwani yeye hajui kwamba hapo alipoolewa ndio peponi kwake?Sasa oa beki 3, boda boda na wauza nyama wakusaidie
Unazungumzia kupewa nafasi kwenye JAMII au kwenye NDOA..!?Kwahiyo mtoto wa kike asisome??
kwahiyo mtoto wa kike asipewe nafasi katika jamii??
Kitu kikubwa ni malezi, yaani mtoto wa kike anapaswa kuandaliwa kuwa mke/mama bora tangu akiwa mtoto mdogo.
Maswali kuntu Ila tupo kwenye kipindi cha mpito juu ya mapokeo ya elimu, muamko huu wa kusomesha watoto wa kike ni kama unashika kasi kwa sasa na moja ya matokeo yake ni kuwa waliobahatika kuelimika wana ushamba wa kudhani elimu ndio kila kitu.Kwahiyo mtoto wa kike asisome??
kwahiyo mtoto wa kike asipewe nafasi katika jamii??
Kitu kikubwa ni malezi, yaani mtoto wa kike anapaswa kuandaliwa kuwa mke/mama bora tangu akiwa mtoto mdogo.
Kuna kila sababu ya wazazi kuanza kuwaandaa watoto wao wa kiume namna ya kuishi na mwanamke aliyewezeshwa.Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .
Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza
Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"
Msiseme sikuwaambia
Sasa oa beki 3, boda boda na wauza nyama wakusaidie
WoyooooooooooooohHata mimi before nilikuwa na mtizamo kama wenu wa kuwa mwanamke hawezi kuwa haki Sawa na mwanaume Bali atabaki kuwa kama mama wa nyumbani but now baada ya kupata mtoto wa kike nimeona sio fair kabisa sababu sitaki mtoto wangu aje kua Dada au mmama wa nyumbani na kwa sababu yake nimeamua kuwa 50. 50 mimi na mke wangu ili hata baadae mwanangu na yeye awe amsin kwa amsin mkwe unakuja unapewa masharti kama hutaki amsha
Hakuna mwanachuo mdangaji acha kudhihaki Elimu za watu khaaaah.Hao Malaya wa huko kwenye mavyuo hamuwaoni wakiliwa kwa kujiuza? Katika watu wasio na staha ni wasomi ,,bora hao house girl au wanawake wasiosoma kuliko wadangaji
Kumbe hili mnalijua sasa mnajitoa ufahamu au?Maswali kuntu Ila tupo kwenye kipindi cha mpito juu ya mapokeo ya elimu , muamko huu wa kusomesha watoto wa kike ni kama unashika kasi kwa sasa na moja ya matokeo yake nikuwa waliobahatika kuelimika Wana ushamba wa kudhani elimu ndio kila kitu .
Mbele huko elimu itakapokuwa popular kwa kila mwanamke ushamba huu utatoweka tu.
Kwa sasa kuoa mwanamke mwenye elimu yake ,ni risks sana , maana hata wazazi wao bado wanataka control ya ndoa sababu ya pesa walizosomeshea .
Hivyo vyuo kama ulisoma peke yako sawa hakuna,nasisitiza wanawake waliotoka chuo ni malaya waliokubuhu na kila uchafu wanajua,hizi hadithi za vibamia na kudanga ndiko zimeanzia sijui haki sawa nk nk.Hakuna mwanachuo mdangaji acha kudhihaki Elimu za watu khaaaah.
una hasira na wanachuo wee poleeeh, hao hg au wasio soma wako wengi tyuuh, muwachukue sio kupiga kelele.Hivyo vyuo kama ulisoma peke yako sawa hakuna,nasisitiza wanawake waliotoka chuo ni malaya waliokubuhu na kila uchafu wanajua,hizi hadithi za vibamia na kudanga ndiko zimeanzia sijui haki sawa nk nk.
Mbona unanihukumu?? Mie nililijua hilo ndio sababu nikaamua kuchukua wa darasa la nne B, maisha yanaendelea,Kumbe hili mnalijua sasa mnajitoa ufahamu au?
Tuwachukue mara ngapi mkuu,nina experience na wana vyuo maana nilikuwa nao huko na nilipatwa na pia mitaani wengi wanaugulia na wasomi.una hasira na wanachuo wee poleeeh, hao hg au wasio soma wako wengi tyuuh, muwachukue sio kupiga kelele.