Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
- Thread starter
- #21
Umeona eehUmesema ukweli
Umeona eehUmesema ukweli
hahaha nipe mbinu mkuu
Namwambia nataka niwe na wewe ila sikupendi sana...
Madem wa siku hizi kuwatongoza rahisi sanaa sababu wengi Kichwani ni watupu....wanawake wagumu kuwatongoza ni wale ambao ni Vichwa
Maneno Kuntu hayaa👌👌Ukiwa na uhusiano na unayempenda, jiandae kuwa mtumwa.
Kudadadeki, unadhani kuna mtu atakubali?Namwambia nataka niwe na wewe ila sikupendi sana...
NdioUmeona eeh
Unawatongoza unaowapenda au usiowapenda???Mimi huwa naweka Madem kumi wa kuwatongoza kwa siku na haijawahi tokea wote wakabwaga, na kuna wakati huwa wote wanakubali alafu baada ya hapo sasa ndio huwa nachuja mchele na chuya
Wapo mkuu..mfano wale wa buguruni (kwenye mbao mbao pale)watakubali tu ...ila poch iwe nene
Very correct, wanawake wote ni wakali inategemea unamwangalia kwa jicho ganiMademu wote ni wakali, maana demu mkali kwako kwa mwingine anamuona wa kawaida na demu mbaya kwako kwa mwingine anamuona mkali
Nevet put a woman on the pedestal. Hili wanawake wazuri wanalijua vizuri kulitumia for their own benefit.Hizi ni dalili za udomo zege principle za kutongoza ni lazima u risk kupoteza urafiki au upate mpenzi, hakuna safe zone kwenye kutongoza, shida huanza pale unapo mfanya awe kwenye pedestal lazima uwe na swaga za kilooser
Dhaaa agiza chochote nalipa mkuuUkiwa na uhusiano na unayempenda, jiandae kuwa mtumwa.