Iko hivi unamuona mwanamke mzuri unajisemea moyoni eti" huyu mwanamke mzuri mimi simuwezi, huyo anachukuliwa na mahandsome na watu wenye pesa zao" by doing so you have put her on the pedestal, yaani umemuinua sana na mwisho wa siku anakudharau. Kumbuka ikiwa wewe mwenyewe unajiona huna thamani mbele yake nani atakuona kuwa una thamani?? Jithamini na watu wakuthamini. Lakini pia mwanamke ukishakuwa unamhusudu sana analielewa hilo na anaona udhaifu wako kuwa bila yeye wewe huwezi, na huna ubavu wa kumwacha.elaborate mkuu, nmepata mwanga kidogo ila bado sijaipata maana kamili unayoimaasha.. if u may, please weka kinagaubaga.
Sometime anakuomba pesa za matumizi, ukimnyima au ukimwabia huna ananuna na kususa pengine hata simu asikupigie au kutuma ujumbe mfupi. Badala ya wewe kukemea tabia hiyo mbaya unajikoki jioni kumpigia simu na kumbembeleza mpaka utakapomtumia. Tena unaamua kujichinja mwenyewe kwa kuongeza dau. Kama alikuomba elfu 20 unamwambia baby nikipata pesa nitakutumia elfu 40 kabisa. Mpaka hapo umemweka matawi ja juu. Na kwa njia hiyo atakutesa sana. Na itakuingia akili wewe ndio itakuwa unabembeleza. Puting a woman on pedestal itamjemgea akilini kuwa yeye ni mzuri sana na kwamba hata ukimwacha wewe atachukuliwa na wengine so huwezi kumbabaisha.
Tukisema never put a womam on pedestal we mean man should always respect himself, self value, lead and confident.
Nikipata nafasi nitaleta somo namna ya kuongea au kusimama ukiwa na mwanamke hasa mpya. Namna unatakiwa unyoe nywele zako siku ya kwanza ya mtoko, namna ya kuomba namba ya simu njia ambayo hakuna mwanamke yeyote anayekataa.
Nitakufundisha jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka bila uchawi wala ndumba.
Nitakufundisha namna utakavyopaswa kuishi kiasi kwamba kila mwanamke anakutamani iwe kazini, shuleni au sehemu zako za mizunguko.
Nitaeleza jinsi maeneo mbali mbali ya kuchukua milupo na njia nyepesi za kutumia.
Nitakueleza namna maanamke anaweza kukupenda bila kulazimika kumhonga na akakuganga kama Ruba.
Kiujumla nitakufundisha how to be A real Man. Achana na hawa wabeba mikoba ya wanawake njiani na maigizo yao ya be gentle za movie.
😄😄😄
