NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,130
Reaction score
6,360
Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...

Na ukizingatia yoyote Yale

NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA....

ASANTENI..
 
Una hoja.. Wakusikilize
 
Na hicho ndicho kitafanyika kama yanga akigomea mechi kweli
 
Hakuna kitu kama hicho... Timu igigomea mechi taratibu zianjulikana mzee...Kunyang;anywa point tatu na kushushwa daraja..

NO REFORM NO ELECTION
Ingekua ni rahisi kiasi hicho iyo kanuni ingetumika tarehe 8 march kwa simba. Hizi klabu mbili za kariakoo mambo yao yanamalizwa kwa busara sio kanuni
 
Hakuna kitu kama hicho... Timu igigomea mechi taratibu zianjulikana mzee...Kunyang;anywa point tatu na kushushwa daraja..

NO REFORM NO ELECTION
Mbona Simba sc iligomea mechi .......
 
hii kitu inaleta ujinga sana kwenye. MCHEZO wa soka hapa TZ YAAANI vinabebwa kama vitoto vidogo.......Hadi bodi ya LIGI na. Marefa dahhh.........kutoka KUONGEZWA DAKIKA 20 ZA. NYONGEZA. MPAKA KWENYE KANUNI. YANABEBWA TUUUUU.........DAH........
 
Nimetoka mwanaspoti.co.tz wameweka habari kuwa bodi imekili kosa,
Hujui hata kusoma na kuelewa. Ni mwandishi wa makala ya Isiwe Zengwe ndio anawashauri TFF na,Bodi wakubali kosa.
Aliyeandika ni Yanga Lia lia anajulikana na sio kweli TFF na Bodi wamekiri kufanya kosa.
 
Nimetoka mwanaspoti.co.tz wameweka habari kuwa bodi imekili kosa,
Umesoma vibaya.
Nitumie link.
Mimi ni subscribed reader wa hilo gazeti online.
Na Leo nimelipia sijaona hiyo habari.
Au kichwa Cha habari Bodi, TFF wakubali kosa sakata la Yanga, Simba hujakielewa? Hayo ni maoni ya muandishi. Anawataka au kuwashauri bodi ya ligi na TFF wakili kosa.
Soma habari yote.
 
Back
Top Bottom