Hee mbona yule katibu mkuu mropokaji alisema sasa siasa zinahamia bungeni? Huyo ndio aliwapotosha Chadema kwa hiyo chama chake ndio kifutwe. CCM ndio wanaopiga kelele na mwisho kuunga mkono hoja we vipiiii....?Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.
Ni lini na wapi ulisikia hao Chadema kupinga hoja kwa kutumia shilingi ??? Makelele yao ya kupasua maguruneti yamefikia wapi ??? Mwisho wa kikao wanaunga mkono !!! Au sio ? Kila siku mnalipua lakini hakuna anaewasikiliza ,watu wanapinda kushoto nyinyi mnabaki na mwendo mdundo....nyie viipiiiiiii ?
Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.

Je hiyo hoja yako inatosha kufutwa kwa chama?
Kwanini isifutwe UDP/NRA/etc ambao hawana hata mwelekeo ifutwe cdm?
Anyway naona unashiriki kuwaimarisha safi sana
Kama nasaidia kuimarisha sawa ! Lakini ukweli siku zote unakuja juu ,siasa za Chadema zinawalakini na kwa kweli hazieleweki isipokuwa kwa wale ambao wamekusudia kuitumbukiza nchi hii kwenye balaa.

Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Natumaini wewe si mtanzania kwani hauna uzalendo na taifa yaani wahuni wachache waipeleke nchi wanavyotaka alafu watu wanyamaze kwa iyo kwa asilimia mia moja NAIUNGA CHADEMA MKONO KWA KUWATOA WATANZANIA KATIKA USINGIZI MZITO MPAKA SASA WANAHOJI JUU YA SERIKALI YAO!
People powerrrrrr,
Viva CHADEMA
Inategemea upo mrengo gani,kama ni msukule wa Chadema huko sina la kukufanya,maana umeshachotwa na kasumba za Chadema.Hapa tulipo uma wa wazalendo wa Taifa hili wameshaiona Chadema kuwa haina mshiko ni chama kisichoweza kuonyesha mfano hai na badala yake wamekazania bungeni tu,amini usiamini bengeni hakuna hata moja la faida linaloamuliwa ili kukidhi haja za wazalendo ,ni wao na kutunisha matumbo na kuwajibika kwa yale yanayowanufaisha.
Ni lini na wapi ulisikia hao Chadema kupinga hoja kwa kutumia shilingi ??? Makelele yao ya kupasua maguruneti yamefikia wapi ??? Mwisho wa kikao wanaunga mkono !!! Au sio ? Kila siku mnalipua lakini hakuna anaewasikiliza ,watu wanapinda kushoto nyinyi mnabaki na mwendo mdundo....nyie viipiiiiiii ?
Mkumbuke mobutu ,idd amin kisha wanaofuata ni watanzania wasio ona mbali. mwiba umepig mchomo huna jipya.
Tunasingizia sana Bangi kuna rafiki zangu ma-rasta, wanatumikia hii kitu ila wana hekima
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
natamani kutukana, sema kanuni haziniruhusu