Edson Silumbe
Member
- Nov 27, 2010
- 52
- 27
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Kuna member anaitwa Kichuguu hapa ni mtu makini sana. Tafadhali omba apologyNafikiri wewe sio mwiba ni kichuguu and i seriouly wonder if u are one of the great thinkers of ths amazing forum!
Ni jambo gani ambalo Chadema wanalipigania recently ambalo halina maslahi kwa Taifa? Lipi? Lipi ambalo Chadema wanali-uphold halafu wanawaburuza wananchi kukubaliana nalo ambalo ww kwa akili yako unadhani wananchi wanalipinga!!
Kama Chadema kingekuwa chama unachokielezea wewe si tayari nchi ingekuwa vitani!
Mori ya Wananchi wakati wa kutangazwa matokea ya Urais kwa baadhi ya mikoa ilikuwa juu sana kiasi kwamba Slaa angewahamasisha waasi tayari pasingekalika na huo moto ungeenea taifa zima!!
Katika Afrika utapata wapi mtu Mvumilivu kama Slaa na Chama chake? Karibu kila pembe ya Afrika watu wanazichapa,unajua kwa nn?
Stop writing bullshit,after all,hakuna mageuzi yanayopatikana bila misuguano! Rejea historia ya Ulimwengu,halafu niambie nchi moja ambayo ambapo kumekotokea mageuzi ya aina yeyote pasipo frictions!!
Unaposema matamko ya Chama una maana gani ? Na hao wanaotoa kauli akina nani ? Nijuavyo Mkuu akisema ndio kimesema Chama ila msemaji wa Chama akanushe. Sawa sawaa ?
Kusema kweli mimi nilifurahi sana niliposikia maana sikuona ,kuwa wabunge wa Chadema wamesusia Bunge na pia wametangaza kutomtambua Kikwete kama Raisi alieshinda kihalali,...Lakini haikutimia hata wiki wamerudi na wanamtambua Kikwete na pia imefika kumtaka apinge na kukemea mambu ya Ivorycoast ,niliwashangaa sana ,sasa hivi wanauchanganya umma ,wameacha kule ambako kungewapa nguvu ndani na nje ya nchi wameenda kurukia Katiba ,wamekosea pakubwa sana ,hawajatulia kwenye Katiba wanaenda kupanga mambo ya kufanya mambo kwa nguvu,ikiwa watakubaliwa au hawakubaliwi , they are no more political party ,sasa haijulikani kama ni wapigania uhuru au ni wapigania madaraka ,wandugu kuna njia za kufanya siasa na si mapambano na mabishano na vyombo vya dola.
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Bangi nyingi...Nonsense!!
Inategemea ulivyoelewa tu,ila kila kitu kipo wazi kabisa,kama utaangalia ni namna gani msimamo wa Chadema ulivyo hivi sasa,Chadema wanataka kufanya mambo kinguvunguvu,Chadema wanataka kulazimisha WaTz wakubaliane na matakwa yao au vile waonavyo wao ndio jamii nzima ikubaliane nao na hata serikali iwe inafuata mrengo au matakwa yao ,yaani wanataka kila walitakalo wao lifuatwe na wananchi pamoja na serikali kama halikufuatwa au hawakuruhusiwa basi watumie wananchi kulazimisha ,hii ni jeuri na ni kushindwa kufanya siasa,kwa maana hiyo kama wameshindwa na siasa ni bora wabwage manyanga na sio kutaka kujinyakulia amri kutoka mikononi mwao na kuwatumia watu.
Sisitizo ambalo limekuchanganya ni pale nilipotoa rai kuwa ,wawe wenye kusimamia misimamo yao kisiasa kama waalivyotoka bungeni,nijuavyo walitakiwa wasirudi hadi kieleweke ,hilo halikufanyika,kutomtambua Raisi nalo hilo lingendelea mpaka ikawa kero ndani na nje ya nchi nalo mpaka ieleweke au kieleweke ,lakini wapi hakuna hata moja walilolisimamia kwa umoja na kuliendeleza ,sasa hili la tutafanya ikiwa hatukupewa kibali huoni kama ni kusababsha matatizo,hawaeleweki !! Mambo mengine hayahitaji mpaka mueleweshwe ukitizama tu utaona kuwa Chadema wamepoteza muelekeo na wanakoelekea ni fujo na vurugu ,ndio nikasema bora kifungwe.
Nimepitia post yako kwa umakini na sijafanikiwa kuona logic na ulipokusolewa nilidhani ungekiri kiungwana kwamba "nilipotoka". Kwa kukaidi naona hapo ndio upeo wako wa kuchangia.