Ni black obama?

Ni black obama?

Hata akishindwa uchaguzi itakuwa poa Tangu awe rais wa Marekani amesaidia nini Africa? na watu weusi? Takwimu zinaonyesha zaidi ya nusu ya wafungwa nchi marekani ni watu weusi, ziadi ya nusu ya weusi hawana ajira na wanabaguliwa sana kwenye ajira chini ya Obama takwimu hizi zimeongezeka!Kenya hapo jirani na kwa baba yake amesaidia nini?ni mweusi kwa rangi ila tabia za kizungu!

Acha mawazo ya kitumwa yaani wewe ulidhani rais wa marekani ni rais wa nchi za kiafrika? yule ana asili ya afrika hususan kenya lakini ni mmarekani na ndo maana kachaguliwa kuwa rais wa marekani na yuko commited kwa interests za USA kwa mujibu wa katiba ya nchi yake aliyokula kiapo! haya mambo ya kupapatikia marais wa nchi nyingine mtakuja kuolewa bila mahari! kama kuna weusi wengi magerezani ni kwa sababu ni wakosaji wamehukumiwa hivyo na mahakama chombo cha kutoa haki! sasa unataka awatoe tu magerezani avunje sheria kwa kuwa tu ni weusi wenzake! shughulikieni matatizo ya nchi yenu acheni kusingizia nchi nyingine kuwa sababu za matatizo yenu! huu ni ukichaa kumlaumu obama rais wa marekani kwa matatizo ya kenya au Tanzania!
 
Kwani wewe umeisaidia nini marekani? Mtu asipokusaidia ni visa? Huoni aibu kuomba kila mara. Jikaze utoke hapo ulipo sio kutaka kusomeshwa kwa msaada. Ukisomeshwa kwa msaada unashindwa kulipa mishahara badala yake unateka, unatesa na kujeruhi watalaam. Huku ukiendelea kuota ndoto za misaada toka kwa Obama. Obama amelelewa na marekani, utaifa kwanza ubinafsi baadaye. Angekuwa mwafrika mbinafsi angechota mali zote za Marekani kupeleka kwao Kenya. Mmarekanisio hivyo.
 
Acha mawazo ya kitumwa yaani wewe ulidhani rais wa marekani ni rais wa nchi za kiafrika? yule ana asili ya afrika hususan kenya lakini ni mmarekani na ndo maana kachaguliwa kuwa rais wa marekani na yuko commited kwa interests za USA kwa mujibu wa katiba ya nchi yake aliyokula kiapo! haya mambo ya kupapatikia marais wa nchi nyingine mtakuja kuolewa bila mahari! kama kuna weusi wengi magerezani ni kwa sababu ni wakosaji wamehukumiwa hivyo na mahakama chombo cha kutoa haki! sasa unataka awatoe tu magerezani avunje sheria kwa kuwa tu ni weusi wenzake! shughulikieni matatizo ya nchi yenu acheni kusingizia nchi nyingine kuwa sababu za matatizo yenu! huu ni ukichaa kumlaumu obama rais wa marekani kwa matatizo ya kenya au Tanzania!
itabidi nikujibu siku nyingine maana inaenalekea wewe umelewa siasa za tanzania hujui international issues, na pia wakati huo viroba vitakuwa vimekutoka!!
 
Hata akishindwa uchaguzi itakuwa poa Tangu awe rais wa Marekani amesaidia nini Africa? na watu weusi? Takwimu zinaonyesha zaidi ya nusu ya wafungwa nchi marekani ni watu weusi, ziadi ya nusu ya weusi hawana ajira na wanabaguliwa sana kwenye ajira chini ya Obama takwimu hizi zimeongezeka!Kenya hapo jirani na kwa baba yake amesaidia nini?ni mweusi kwa rangi ila tabia za kizungu!

wewe kaa tu usubiri obama aje akusaidie,viongoz wako wameshindwa kukusaidia,ndio obama aje kukusaidie,hii misaada ikomeshwe kwa africa
 
Ili nchi yetu itoke kwenye kilindi hiki cha umaskini inabidi tumpate rais kichaa atakayepiga marufuku misaada yote. wasiotaka kufanya kazi wafe waishe watabaki wachache wachapakazi waizae Tanzania mpya.
 
Acha mawazo ya kitumwa yaani wewe ulidhani rais wa marekani ni rais wa nchi za kiafrika? yule ana asili ya afrika hususan kenya lakini ni mmarekani na ndo maana kachaguliwa kuwa rais wa marekani na yuko commited kwa interests za USA kwa mujibu wa katiba ya nchi yake aliyokula kiapo! haya mambo ya kupapatikia marais wa nchi nyingine mtakuja kuolewa bila mahari! kama kuna weusi wengi magerezani ni kwa sababu ni wakosaji wamehukumiwa hivyo na mahakama chombo cha kutoa haki! sasa unataka awatoe tu magerezani avunje sheria kwa kuwa tu ni weusi wenzake! shughulikieni matatizo ya nchi yenu acheni kusingizia nchi nyingine kuwa sababu za matatizo yenu! huu ni ukichaa kumlaumu obama rais wa marekani kwa matatizo ya kenya au Tanzania!

mpashe
 
Hapana,

Ni Black Osama, wewe husikii vizuri tu.
 
Back
Top Bottom