Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

kirisha

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
573
663
Napenda

Kumshukuru Mungu naye muamini kwa kunipa zawadi ya uhai na afya tele Mimi ni ndugu yenu hapa jukwaani

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipambana kutafuta mwanga na kutimiza ndoto zangu

Mapema mwaka huu kwenye mwezi wa tatu ndio nilipoona mwanga baada ya kupata biashara ambayo kwa siku tu inanipa faida 150000 nakuendelea

Nashukuru sana nimeweza kulipa madeni nimewa kuishi vizuri paka sasa

Kitu kilichonifanya niandike huu Uzi nataka kuomba ushauri kwenu kwa kipindi hiki nachofanya hii biashara nakupata hii faida

Mambo gani nizingatie sana ili niweze kwenda mbele zaidi niwekeze wapi zaidi kwenye vitu gani vitavyonipa faida kwa haraka

Niwe na nidhamu kwenye vitu gani ili biashara yangu iwe na msingi imara

Ni ayo tu biashara yangu nauza viatu kwa Bei jumla
 
Hebu fanya kutumegea kwanza siri kuhusu hiyo biashara unayoifanya, ili tuweze kukupa ushauri makini kabisa!

Faida ya 150 kwa siku si mchezo! 😇
 
Napenda

Kumshukuru Mungu naye muamini kwa kunipa zawadi ya uhai na afya tele Mimi ni ndugu yenu hapa jukwaani

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipambana kutafuta mwanga na kutimiza ndoto zangu

Mapema mwaka huu kwenye mwezi wa tatu ndio nilipoona mwanga baada ya kupata biashara ambayo kwa siku tu inanipa faida 150000 nakuendelea

Nashukuru sana nimeweza kulipa madeni nimewa kuishi vizuri paka sasa

Kitu kilichonifanya niandike huu Uzi nataka kuomba ushauri kwenu kwa kipindi hiki nachofanya hii biashara nakupata hii faida

Mambo gani nizingatie sana ili niweze kwenda mbele zaidi niwekeze wapi zaidi kwenye vitu gani vitavyonipa faida kwa haraka

Niwe na nidhamu kwenye vitu gani ili biashara yangu iwe na msingi imara

Ni ayo tu biashara yangu nauza viatu kwa Bei jumla
Kama bado hujaoa omba sana Mungu akupe mke mwema, wanaume wengi anguko letu lipo katika aina ya mke tuliye nae, pia mafanikio ya mwanaume yanachangiwa pakubwa na mke mwema aliye nae
 
Nimeoa na mke na watoto wawili ila kwa sasa mke wangu yupo mbali na mimi
 
Napenda

Kumshukuru Mungu naye muamini kwa kunipa zawadi ya uhai na afya tele Mimi ni ndugu yenu hapa jukwaani

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipambana kutafuta mwanga na kutimiza ndoto zangu

Mapema mwaka huu kwenye mwezi wa tatu ndio nilipoona mwanga baada ya kupata biashara ambayo kwa siku tu inanipa faida 150000 nakuendelea

Nashukuru sana nimeweza kulipa madeni nimewa kuishi vizuri paka sasa

Kitu kilichonifanya niandike huu Uzi nataka kuomba ushauri kwenu kwa kipindi hiki nachofanya hii biashara nakupata hii faida

Mambo gani nizingatie sana ili niweze kwenda mbele zaidi niwekeze wapi zaidi kwenye vitu gani vitavyonipa faida kwa haraka

Niwe na nidhamu kwenye vitu gani ili biashara yangu iwe na msingi imara

Ni ayo tu biashara yangu nauza viatu kwa Bei jumla
Hayo mengine juu ya matumizi ya hela siwezi kukushauri maana ninaamini kama umepitia tabu lazima utakuwa umejifunza namna gani ya kujiepusha kutumia hela hovyo, ila katika kuwekeza nakushauri nunua kiwanja, ama Toyota coaster Kila siku inaingiza pesa
 
Bila kuzitumia kwenye haya maeneo, utamu wa hela utakuwa nini? Tumshauri katika maeneo haya atumie kwa kiasi na si kuacha kabisa, hela ni muhimu na kuishi maisha uyatakayo ni muhimu zaidi, kwa sababu tunaishi mara moja tu.
Huko Kuna nuksi na mikosi kiongozi. Unataka awe anapiga gamble na mademu
 
Chagua kuwa na mpenzi mmoja kwenye kila kitu, kuanzia mwanamke, pombe, na kila kitu, ukiongeza cha pili kwenye chochote kati ya hivyo ujue ndio unaanza kupotea.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huko Kuna nuksi na mikosi kiongozi. Unataka awe anapiga gamble na mademu
Ni sawa na kupewa hela za masharti, usinywe pombe, usitongoze n.k sasa hizo hela unazozipata ni kwa ajili ya kutambia watu au ni ili zikusaidie kupata hitaji lako la msingi kwa wakati?
 
Napenda

Kumshukuru Mungu naye muamini kwa kunipa zawadi ya uhai na afya tele Mimi ni ndugu yenu hapa jukwaani

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipambana kutafuta mwanga na kutimiza ndoto zangu

Mapema mwaka huu kwenye mwezi wa tatu ndio nilipoona mwanga baada ya kupata biashara ambayo kwa siku tu inanipa faida 150000 nakuendelea

Nashukuru sana nimeweza kulipa madeni nimewa kuishi vizuri paka sasa

Kitu kilichonifanya niandike huu Uzi nataka kuomba ushauri kwenu kwa kipindi hiki nachofanya hii biashara nakupata hii faida

Mambo gani nizingatie sana ili niweze kwenda mbele zaidi niwekeze wapi zaidi kwenye vitu gani vitavyonipa faida kwa haraka

Niwe na nidhamu kwenye vitu gani ili biashara yangu iwe na msingi imara

Ni ayo tu biashara yangu nauza viatu kwa Bei jumla
Wekeza kwenye Utt amis mfuko wa liquid fund autajutia kabisa huku jamii forum wameelezea kwa sana
 
Hayo mengine juu ya matumizi ya hela siwezi kukushauri maana ninaamini kama umepitia tabu lazima utakuwa umejifunza namna gani ya kujiepusha kutumia hela hovyo, ila katika kuwekeza nakushauri nunua kiwanja, ama Toyota coaster Kila siku inaingiza pesa
Asante sana
 
Back
Top Bottom