1. Spotify - Music Streaming
2. Tinder - Kwa vijana wa siku hizi, hii ni dating app infanya matchmaking na kukupa hints ya nani walio maeneo yako wanaofanana na profile yako kama ulivyojielezea mwenyewe. Works better kama around you kuna watu wanatumia hiyo app.
3. Nike running au MapMyWalk hizi ni za mazoezi.
4. Evernote - Kwa ubize tulionao si ajabu ukakumbuka kitu halafu baadae ukasahau, sasa this app is for u, you just register that thing as you go.
5. Voice Memos - Safi sana kwa kurekodi sauti.
6.TV Remote - Hivi ile bishara pale kariakoo ya kuuza remotes bado ipo? Wanatakiwa wakae mkao mpya. Inategeme una TV aina gani lakini kama yangu ni LG hivyo natumia LG AV Remote 2. Unaweza pia kutumia on your player devices.
7. QR Barcode Scanner - Hii unascan kitu unachonunua pale kwenye barcode inakupa details ya bidhaa, nadhani hii itakuwa bomba sana kwa nyumbani where counterfeits is the order of the day.
8. Booking.Com na Tripadvisor - Kwa sisi wapenda kusafiri
9. GWR 2014 - Guiness world records, hii unaweza kutumia kuscan picha kwenye lile buku kla guiness world records ukaona video versions zake. So nyceeeee.
10. Out of Milk - Kama unaishi mamtoni (au kwa wanawake bongo hahahaha) one of the major headache is shopping responsibly, hapa unakutana na hiyo app unaandaa shopping list yako, unaweza ukaedit ukaweka na estimate prices au actual kama unazijua, unaweza kushare au ku-sncy ur shopping list, unaweza pia kuandaa pantry list ku-keep track. Very nice app. Badala ya kutembea na vinotebook, au mkaratasi.
-