Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
App ya kuedit picha mfana kukata kichwa ,kubadilisha nguo halisi ya photo
flightradar24: Hii inakupa in real time ndege zoote zilizo angani na viwanja vyoote vya ndege duniani. Huna haja ya kwenda airport kumpokea ndugu yako na kuambiwa ndege imechelewa. Unapata schedule ya arrival and departure ya airport yeyote unayotaka duniani in real time na unaweza ku-trace flight yeyote ikitoka tu airport mpaka itakapotua. Mfano hapa fasjet ndo kwanza imeondoka kiwanja cha ndege Dar ikienda Kilimanjaro na unapata data zake i.e. flight number, speed, aina ya ndege, ipo juu kiasi gani etc. Pia unaona kuna helicopter hapo na ndege ingine ya Quartar. Unanunua kwa dola 10 tu pamoja na add-ons.
View attachment 252918 View attachment 252921
Mrundikano wa ndege angani ulaya. Uki-click ndege yeyote unapata full details. Ziko kama zimesimama lakini uki-enlarge utaona zote zinaenda.
Iko poa mkuuflightradar24: Hii inakupa in real time ndege zoote zilizo angani na viwanja vyoote vya ndege duniani. Huna haja ya kwenda airport kumpokea ndugu yako na kuambiwa ndege imechelewa. Unapata schedule ya arrival and departure ya airport yeyote unayotaka duniani in real time na unaweza ku-trace flight yeyote ikitoka tu airport mpaka itakapotua. Mfano hapa fasjet ndo kwanza imeondoka kiwanja cha ndege Dar ikienda Kilimanjaro na unapata data zake i.e. flight number, speed, aina ya ndege, ipo juu kiasi gani etc. Pia unaona kuna helicopter hapo na ndege ingine ya Quartar. Unanunua kwa dola 10 tu pamoja na add-ons.
View attachment 252918 View attachment 252921
Mrundikano wa ndege angani ulaya. Uki-click ndege yeyote unapata full details. Ziko kama zimesimama lakini uki-enlarge utaona zote zinaenda.
Taja application ambazo hatuzijui sawasawa na mimi nikutajie hizi utalizika?
Viber
Teamviewer
Shazam
I6QR code scanner
JF
Dropbox
Tapatalk
Office
AdobeReader
Bible
Skype
Marine Traffic.
Ni nzuri haina tofauti sana kama,flight radar(kwa waliotumia)
Hii inakuonyesha Meri ya Mizigo(container)au Abiria.
Inatoka nchi Gani inaenda Nchi gani na Bandari ipi,Pia ina details...iyo ship imetengenezwa mwaka gani imesajiliwa wapi na ina shusha nanga nchi ipi na ipi.
Pakua iyo
Nenda aptoide ka search pale utaikuta.
NI game au application tu
Wakuu wenye simu za android na Iphone.........
Moja ya sifa ya hizi simu zinazotmia platform hii ni Apps mbai mbali .
Inawezekana kuna mtu anatumia app nzuri fulani ambayo mwenzake hajui
Nilikuwa najaribu ku google best anroid/Iphone apps. Matokeo nyingi niizoona haziwezi kuwa na maufaa au matumzi kwa mazigra yetu ya bongo.
Haya wenye Adroid na Iphone tuelimisane some usable apps Tukinooda zile za facebook. twitter yahoo hotmai skype...
Naanza
Bible/Qoran .......( Hizi nadhani kwa waumini wa dini) watakuwa nazo au waatakiwa kuwa nazo. sina uhaa na Iphone. Kwa android zip free apps na za kulipia. Sijui majumbo ya ibada yatachukuliaje challenge ya mtu badala ya kwenda na kitabu(Hard copy) kitakatfu anawenda na simu yeye kitabu itaatifu( Electonic copy) . So simu inakuwa kama kitabu . Any way hi ni mazungumzo baada ya habari......... Challenge nyingine wa mm mrstu nayona hapa ni Ukoef u wa apps katika lugha ya kiswahili. Kama ipo app ya biblia ya kiswahii nifahamishwe. Kama hakuna eveloper mnasamaje
Tuendeeee kujulishana app nyingine
Mkuu naona kwenye screenshot kuna needforspeed most wanted nisaidie jins ya kupakua hili game tafadhali sana mkuuApps hizo