flightradar24: Hii inakupa in real time ndege zoote zilizo angani na viwanja vyoote vya ndege duniani. Huna haja ya kwenda airport kumpokea ndugu yako na kuambiwa ndege imechelewa. Unapata schedule ya arrival and departure ya airport yeyote unayotaka duniani in real time na unaweza ku-trace flight yeyote ikitoka tu airport mpaka itakapotua. Mfano hapa fasjet ndo kwanza imeondoka kiwanja cha ndege Dar ikienda Kilimanjaro na unapata data zake i.e. flight number, speed, aina ya ndege, ipo juu kiasi gani etc. Pia unaona kuna helicopter hapo na ndege ingine ya Quartar. Unanunua kwa dola 10 tu pamoja na add-ons.
View attachment 252918 View attachment 252921
Mrundikano wa ndege angani ulaya. Uki-click ndege yeyote unapata full details. Ziko kama zimesimama lakini uki-enlarge utaona zote zinaenda.