talking tom
Ni imani yangu kuwa kwenye play store hakuna hii maana hadi sasa sijapata pamoja na kujaribu apps kibao hata zingine zikitaka kufanya rooting kabisa
nimbuzz,fring..kwanini watanzania 2sidevelop apps ze2?mnafkir ha2wezi?
Dots...A Very addicting game previously available only on iOS... https://play.google.com/store/apps/...e&utm_medium=organic&utm_term=dots+play+store
Msaada kupata whatsapp application kwenye tecno t731 kila nikidownload zinagoma
Dots...A Very addicting game previously available only on iOS... https://play.google.com/store/apps/...e&utm_medium=organic&utm_term=dots+play+store
Mtazamaji mmefikia wapi??I'm in!Actually hiyo Alarm naipenda kwa sababu
1. Badala ya kukupigia kelele, it can send you an alert in a form of msg with no sound and subtle vibration [I sleep really lightly]
2. Screen ya simu haijizimi na inakuwa kama digital clock with large neon signs saa zote [nzuri ukiamka usiku kuona bila ku unlock simu na kuangalia vi number vidogo ili kujua wakati]
3. Unaweza ku customize mziki wa kukuamsha, ku synchronize na iPod music au music file jengine na kadhalika
Mtazamaji, what do you think of ATM-finder?
Tutengeneze App ambayo itakuonyesha the nearest ATM kutoka location uliyopo....na ikiwa na live updates kuhusu condition ya huduma kama "Out of Order," "Out of Cash," na "long Queue," will be super cool (@-@)
For Android
1. Temple Run 2
2. Swahili bible
3.Zombie highway
4. Cine trailers
5. Time table
6. Tube mate
7.Mix player
8. Camera 360
9.ebay
10. Kurasa Tanzania
11. Thumbs
12.Mozilla fire fox
13. Atrium for facebook
14. Jamiiforums
15.Life reminders
16.How to tie a tie
17.Eye trainer
18. iAfya
19. Mapishi
20.perfect body
21. Daily workout
22. AR first Aid
23.Relaxing Sound
24.PhotoGrid
25. Instagram
26.Snap camera Trial. Ni balaaa hii
27.BBC SWAHILI +VOA
28.Jobs Tanzania
29. WikiHow
30.Photo Funia
31. IMDb
HIZI ZOTE ZINAPATIKna PLAYSTORE
Unafanyaje kuweza kuipata temple run 2 kwenye simu yangu huawei (anroid),I tried several times to download the app but it failed..
help pls