Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Wakuu wenye simu za android na Iphone.........

Moja ya sifa ya hizi simu zinazotmia platform hii ni Apps mbai mbali .

Inawezekana kuna mtu anatumia app nzuri fulani ambayo mwenzake hajui

Nilikuwa najaribu ku google best anroid/Iphone apps. Matokeo nyingi niizoona haziwezi kuwa na maufaa au matumzi kwa mazigra yetu ya bongo.

Haya wenye Adroid na Iphone tuelimisane some usable apps Tukinooda zile za facebook. twitter yahoo hotmai skype...

Naanza

Bible/Qoran .......( Hizi nadhani kwa waumini wa dini) watakuwa nazo au waatakiwa kuwa nazo. sina uhaa na Iphone. Kwa android zip free apps na za kulipia. Sijui majumbo ya ibada yatachukuliaje challenge ya mtu badala ya kwenda na kitabu(Hard copy) kitakatfu anawenda na simu yeye kitabu itaatifu( Electonic copy) . So simu inakuwa kama kitabu . Any way hi ni mazungumzo baada ya habari......... Challenge nyingine wa mm mrstu nayona hapa ni Ukoef u wa apps katika lugha ya kiswahili. Kama ipo app ya biblia ya kiswahii nifahamishwe. Kama hakuna eveloper mnasamaje


Tuendeeee kujulishana app nyingine
 
huwa natumia PANDORA,THUMB,IM+,INSTAGRAM,STATUS SHUFFLE,TEMPLE RUNNER,MOMENTO,AWESOME NOTE,G+,FB,CAMERA+,FL STUDIO,...ETC
 
Aksanten sana wadau
Cestus said:
huwa natumia PANDORA,THUMB,IM+,INSTAGRAM,ST ATUS SHUFFLE,TEMPLE RUNNER,MOMENTO,AWESOME NOTE,G+,FB,CAMERA+,FL STUDIO,...ETC
CESTUS japo google ipo do u mind wa fida ya wasomaji ukitoa clue kidogo each one of those apps zinafanya nini ?

Saint Ivuga said:
slum dunk
Mkuu hii ni game ya kucheza kung fu au..... tupe clue kidogo ?

ThinkPad said:
bible ya kiswahili ipo ila ni agano jipya.
Una maana kwenye android au kwenye IOS? unaweza kunipa jinaa hiyo app au link niicheki
 
For iPhones

1. Bible (Kiswahili(agano jipya & kale), English & na lugha zingine)
2. iBook (kusoma vitabu mbali mbali, novels, na kuvipanga kwenye shelf )
3. iFileExplorer (kuExchange data kati ya iphone yako na computer kupitia ip address)
4. Installous (kuDownload applications zilizopo kwenye App Store bure)
5. 3G unrestrictor (kuCheat applications za simu zinazohitaji wifi na kuzitumia kwa 3G ikiwemo kupiga video calls on 3G)
6. DreamBoard (kuWezesha kufanya simulation ya OS zingine kama Android, Windows Mobile, BlackBerry HD&SD kwenye i4n)
7. Quickoffice Pro (kutengeneza, kuedit microsoft office documents ie,,excel,word,access,powerpoint etc)
8. BUZZ Player, VLC Player (kuplay HD movies za format tofauti kwenye iPhone)
9. GlobeConvert (converter ya currency, length, weight etc)
10.Paint Studio, PhotoStudio, FL Studio (playing & editing audio and photos)
11. Aljazeera, Press TV, BBC, Skynews, CNN (live streaming applications...
12. Coolstreaming (watching live dstv channels over the internet)


iPhone Games:

1. Modern Combat 3 (size: 1.04GB)
2. FIFA 12 (size: 1.02GB)
3. Gangstar Rio (size: 813MB)
4. Gangstar MV (size: 439MB)
5. Brothers In Arms 2 (size: 266MB)
6. Avatar (size: 200MB)
7. InfinityBlade2 (size: 932MB)
8. Fast Five (size:773MB)
9. NOVA (size:580MB)
10.NFS Shift (size:312MB)
 
Back
Top Bottom