Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
bibles swahili free unaipata unaipata ndani yake kuna agano jipya na agano la kale ingawa mimi muislamu huwa nasomaga Chakufurahisha unafunua kama page ya kijitabu kidogo hadi raha
Apps kwa Iphone:
SofaScore - kwa ajili ya matokeo ya mechi na michezo mbalimbali ya soka, kikapu n.k.
Photo Shaper - kwa ajili ya kuzipa sura mbalimbali picha ulizopiga, unaaweza kuunganisha picha zaidi ya 10 na kuzipa sura ya aina mbalimbali.
GPS Data - hii ni kama GPS device, inayotoa data za GPS, kama vile latitude na longitude, altitude, bearing etc.
Airport Utility - kwa ajili ya kumanage Wi-Fi networks na Airport base stations
F.E.D - Find Eat Drink - kwa ajili ya kulocate migahawa, bars, maduka ya vyakula, masoko ya vyakula n.k.
USA Slang - kwa ajili ya kukupa maana ya maneno mbalimbali yanayotumika kwenye mitaa mingi ya miji ya Marekani
tv24.co.uk - kwa ajili ya kupata chaneli mbalimbali za Uingereza, zinazorusha matangazo ya moja kwa moja ya matukio mbalimbali ya michezo, sinema, habari n.k.
101 Great Goals - kwa ajili ya kupata kuona magoli yaliyofungwa katika michezo mbalimbali ya soka
Best Free bible . version na lugha yoyote, download : YOU VERSION it is for both ios and android, also windows and bb, Enjoy!Hii ni kwa android? Inapatikana free?
Best Free bible . version na lugha yoyote, download : YOU VERSION it is for both ios and android, also windows and bb, Enjoy!
Mie sielewi chochote hapa...kwa hili nahitaji mwalimu na sehemu ya kusoma tuition...kweli kabsa haki ya mungu...mie najua simu ikiwa na pesa napiga na kutuma sms labda sikuhizi kuna camera music na tochi...haya mengine sijui games mara nini wala hata sijayajua...au ndio nazeeka vibaya??..
Teknolojia nimewaachia watoto basi nakuwa mgenin kabsaaa...
Kwani hawa samsung galaxy 2 ndio nani sasa? Android au i-phone?...na wale smart phones ndio nani tena?
Ttpod is My all the time music player nimeanza kuitumia since 2007 enzi za Symbian.
View attachment 90136View attachment 90137View attachment 90138View attachment 90139View attachment 90140View attachment 90141View attachment 90142View attachment 90142View attachment 90144
@C6, leh, Millah, Riccristin na wengineo nasubiri mlete mshindani wa Ttpod Music Player
Sorry sijui tiari imekuwa listed ama vp bt naomba mnitajie app inayo weza download youtube videos kwa android cuz naona nying zinasema terms za youtube haziruhusu app fulan to download video from YouTube
Sorry sijui tiari imekuwa listed ama vp bt naomba mnitajie app inayo weza download youtube videos kwa android cuz naona nying zinasema terms za youtube haziruhusu app fulan to download video from YouTube