Wakuu nisaidieni hizi appl za sollar charge zinafanya kazi kweli au ni mizinguo na kama zinafanya kazi ipi inayofaaa zaidi
Naomba unitumie hizo key kwenye email yangu alexnkayaga@hotmail.com
nawezaje kupata live tv/radio on android 4n?
Tafuta app naitwa TuneIn Radio utapata rocal na international Internet radios