Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

[h=2]KitKat HD Launcher 7 in 1 V2[/h]
1.png
2.png



http://www.kingfiles.net/me2l2t34ycp...gfileslink.rar
 
mobogiene kwa wale ambao simu zao playstore zao zinasumbua basi mobogiene ni mbadala wa hiyo uzuri wa hii unaweza kukonect na usb cable ya cm yako theni ukadownload app yoyote uitakayo kwa kutumia megabyte na speed ya computer kisha app inaingia auotomatic kwa simu..ni mm babu yenu :A S 114:
 
Sijakuelewa @ Walas

Nenda gugo play search
"document to go"

Alafu ukimaixa ili uweze kuandaa au ku create ms word na mengine inabid uwe na full key zaio apk. sasa hizo key wanauza hapo gugo play i think $14 sasa me ninazo nataka nikupe bureee kabisa.
 
duh! naona maluwe luwe! jamani ntakula ada mwenzenu sababu ya kusaka Iphone!
 
Shazam... hii ina recognize any songs ukiifungua tu kama wimbo unachezwa basi inautafuta
google latitude...hiii unaweza ukawaweka marafiki zako popote walipo duniani na unaweza muona alipo so huwezi danganywa kama unampenzi wa mbali hawezi kukudanganya yupo chuo kumbe yupo sehem nyingine inashow location
ESPN SCORE CENTER hapa unapata matokeo ya match yoyote notification kwa favority team eg manchester,arselal nk
JANGO RADIO,,,hii app unasikiliza millions of songs artist all around the world for free...
ATM HUNTER i dont knw kwa bongo inaweza ila ulaya inakutambulisha wapi ATM ilipo na itakufikisha
hizomie ninatumia karibia kila siku ila zipo nyingi sana

Google latitude Icon yake ikoje,au nitumie link mkuu
 
Thread nzuri.
Apps za android ziko nyingi sana na nyingine inatokana na upendeleo wa mtu.

system: apps: Greenfy, Titatnium backup.(Hizi lazima simu yako iwe rooted, google)
Launcher: Nova launcher, Apex launcher
Social: Facebook, Instagram, tweeter,
IM: Whatsup, Viber, 2go, BBM for android
Office: Currency, Office suit, Polaries office
Youtube: Tubemate
Video player: MX Player
Hiding apps: Audio Manager
 
Back
Top Bottom