Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Hiyo kitu ni upo kama upo highway kuelekea kwenye destination flani na zombies wanadandia gari lako ili waliangushe sasa ww unatakiwa u get rid of them kwa kuwabamiza kwenye magari mengine njiani au kwa kutumia ammo/silaha ulizonazo na utawa shoot kwa kutumia red spots ambazo zipo pembeni ya screen yako
 
Hill climb racing is another fun game for android users na haihitaji high spec phone. Kwa wale wanaopenda KUCHEMSHA AKILI kuna game kama Quell reflect, angry spider, idea tactics (hizi ni puzzles kwa wale wapenda chess), ceramic destroyer (YOU MUST HAVE THIS IN UR PHONE plus there is iphone version too), shredder chess, wordfeud (kwa wapenda scrabble).
To improve your memory download Coach memory!Brain trainer (it's free now, get it before it goes commercial).
To improve your reading speed get this one "Tap the numbers quiz"
 
Wi-Fi Kill:Hii unaweza kuona watu waliokua kwenye wi-fi network uliyo-connect. Pia unaweza kuona page walizofungua na unaweza kurestrict wasipate internet access.
Simu yako inabidi iwe rooted.
 
Tango= it's like a video phone. You can see whoever to talk to
Soundhound: you can tag almost any song. It's much better than Shazam
 
I have an experience to share with you guys. Once I was in a remote place, my signal in my phone got jammed, i thought the problem would be with my service provider. After coming back home i gave black and blues to my customer care highlighting my issue. They pleaded me saying that the problem is not with them. Then i browsed through the search engine regarding my issue, i got a remedy for my cell phone, there i came to know the problem called signal jamming that is experienced in most cell phones. They have a product called phone jammer could be very useful to get rid of these problems. Check out the details here cell phone jammer and hope this information would be beneficial. Hope that u would pass this information to all your friends, so that they too would benefited, Stay safe, Cheers
 
Kitu walicho kificha kuna mpangilio wa firmware service Kama ukiuzibiti utaweza nunua kitu chochote
 
SOUND HOUND ni noma, ukiiweka on unaisogeza karibu na wimbo wowote unaoimba inautambua ni wimbo gani na ni wa mwanamuziki gani na inakupa mashairi yake na inakupa option ya kuusownload.
 
Bible ya kiswahili ipo (HOLLY BIBLE IN SWAHILI)
 
bible ya kiswahili ipo ila ni agano jipya.

Kuna bible ya kiswahili kwa android inaitwa Holy Bible in Swahili ni free na ina agano jipya na kale. Pia kwa wale wanaopenda mazoezi kuna Just 6 weeks: kuna workouts kama Pushups, situps, pull up, squarts nk. Runtastic, Nike +, endomondo kwaajili ya kukimbilia na kutembea. Runtastic ipo pia ya Pushups, squarts na situps.

Kuna app nyingine kama My Wordbook hii ni offline dictionary, evernote kwaajili ya ku take notes na inatumia cloud backup.......
 
Pia kuna colour dictationary hii inakupa how to pronauns both in amerca and britain na translate
 
Back
Top Bottom