Kabaizer
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 504
- 64
Jamani mi naomba za blackberry. Ila nisiwe mchoyo natoa nilizonazo wakuu:
Photosplash hii unaedit picture nzuri sana wakuu
Picmix hii haina tofaut na instagram
Picturestory hii pia unaedit pic na kushare online na watu mbalimbali
Bambooplayer hii unaskilizaa nyimbo ulizosave na inakuletea lyrics automatic ukiwa umejiunga na bundle
Kakaotalk hii ni kama social network nyingine like twitter!
Msaada jamani naombeni za kwenu maana naona nyingi za iphone ndio zimemwagwa!