Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Good ttpod, nmetumia music player nying lakini hii player n balaa, i bet haina mpinzani, try it out.
 
ndugu mbona inakataa kwangu inaandika hivi tatizo nini

"There is problem parsing the package"
 
Aksanten sana wadau

CESTUS japo google ipo do u mind wa fida ya wasomaji ukitoa clue kidogo each one of those apps zinafanya nini ?


Mkuu hii ni game ya kucheza kung fu au..... tupe clue kidogo ?


Una maana kwenye android au kwenye IOS? unaweza kunipa jinaa hiyo app au link niicheki

Mkuu hata la kale pia linapatikana.
 
Zaidi kwenye android. Na ni rahisi ukifika kwenye application store. Una search swahili bible.
 
AfricaPayTv - Kwa ajili ya kupata live TV zaidi ya channels 30 Africa, zikiwepo ITV na EATV...
 
Apps hizo
 

Attachments

  • 1383544617342.jpg
    1383544617342.jpg
    147.2 KB · Views: 627
  • 1383544637703.jpg
    1383544637703.jpg
    146.2 KB · Views: 572
  • 1383544650843.jpg
    1383544650843.jpg
    143.1 KB · Views: 560
Kwakuongezea hizi hapa zengine
 

Attachments

  • 1383547861571.jpg
    1383547861571.jpg
    152.2 KB · Views: 515
  • 1383547879313.jpg
    1383547879313.jpg
    141.3 KB · Views: 537
Kitu "smart lock" nafunga kila file hata nikikuazima simu yangu huwezi kuidukua
Yaani hii ni komesha kwa wale wote wanaopenda kudukua maasiliano ya watu
 
Back
Top Bottom