Ni akina nani hao?

Ni akina nani hao?

TUNTEMEKE

Platinum Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
581
Walikuwa wenzetu katika mapambano. Walikuwa majemedari wa kuaminiwa. Kwa kweli walikuwa wapiganaji na tuliwategemea. Ghafla, wakabadilika. Wakaanza kutushawishi tubadili namna ya kupambana, eti tupambane kistaarabu na kizalendo dhidi ya adui. Wakati mwingine walitutaka tumuulize adui tumpige wapi na kwa silaha gani. Wakaanza kuwaambia adui zetu mahala tunapoweka silaha na wakati mwingine kutushambulia na baadaye kuomba msamaha. Je hao bado ni wenzetu?​
 
Nimecheka sana. Ati wnamuuliza adui "tukupige wapi"??
 
eti na silaha tulipoziweka tunamwambia, loh! wamechoka kweli
si wenzetu hao!:alien:ni aliens
 
Walikuwa wenzetu katika mapambano. Walikuwa majemedari wa kuaminiwa. Kwa kweli walikuwa wapiganaji na tuliwategemea. Ghafla, wakabadilika. Wakaanza kutushawishi tubadili namna ya kupambana, eti tupambane kistaarabu na kizalendo dhidi ya adui. Wakati mwingine walitutaka tumuulize adui tumpige wapi na kwa silaha gani. Wakaanza kuwaambia adui zetu mahala tunapoweka silaha na wakati mwingine kutushambulia na baadaye kuomba msamaha. Je hao bado ni wenzetu?​

Samwel Sitta,
Anne Killango,
Harisson Mwakyembe,
Nape Nnauye, n.k

Samwel Sitta,
Anne Killango,
Harisson Mwakyembe,
Nape Nnauye, n.k

by TUMBIRI
 
Back
Top Bottom