Ni ajabu

Ni ajabu

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,461
Reaction score
1,394
Natafakari kiungo kinachofanya mtu aitwe mwanamke jinsi Mungu alivyokiumba.. ni ajabu. the way kimetengenezwa na ufanyaji wake wa kazi pamoja na umbile lake; hakika sifa apewe Muumbaji. Natafakari kinavyowachanganya watu, wengine wanajinyonga, wengine wanagombana na ndugu zao na majanga kibao .... kweli ni ajabu.. kiungo kilichoumbwa kama msaidizi kwa kiungo kingine (cha Adamu) ona kinavyofanya jukwaa hili lijae ....... Wewe unasemaje? hebu wenzangu tafakari kazi za viungo mbalimbali mwilini mwako.... kisha tumpe Mungu Muumbaji utukufu.
 
^^
Na bila hicho dunia ingekuwa mahali pema
^^
 
Kinaitwa Mbunye jina baya kama nini
 
Natafakari kiungo kinachofanya mtu aitwe mwanamke jinsi Mungu alivyokiumba.. ni ajabu. the way kimetengenezwa na ufanyaji wake wa kazi pamoja na umbile lake; hakika sifa apewe Muumbaji. Natafakari kinavyowachanganya watu, wengine wanajinyonga, wengine wanagombana na ndugu zao na majanga kibao .... kweli ni ajabu.. kiungo kilichoumbwa kama msaidizi kwa kiungo kingine (cha Adamu) ona kinavyofanya jukwaa hili lijae ....... Wewe unasemaje? hebu wenzangu tafakari kazi za viungo mbalimbali mwilini mwako.... kisha tumpe Mungu Muumbaji utukufu.

Weka picha yake basi
 
Subhana allah....!!!!! Mapema yote hii.... Au w/nd imeanza??? Nasikia akisimama inakua chini..... Akikaa inakua mbele.... Akiinama unakua nyuma!!!!! Kweli Mungu fundi
 
Kiungo kilichoumbwa...ila kinaleta majanga?
Kiungo kilchoumbwa..ila kinaleta vifo?
Kiungo kilichoumbwa ..ila watu ndugu hawawezi kukishare?
Chafaa nini basi.....
 
naona usiku wa leo haukua mzuri. kila thred leo inakuja na kituko chake, ngoja tuone hadi jioni itakuaje ila nahisi leo hela ya kitoga inaweza isipatikane
 
...mh, ngoja 'nikitoe' zangu..hapa hapanifai sijui nimefikaje kwanza!!!lol!!!
 
Weka picha yake basi

Funny.bmp
 
O
Natafakari kiungo kinachofanya mtu aitwe mwanamke jinsi Mungu alivyokiumba.. ni ajabu. the way kimetengenezwa na ufanyaji wake wa kazi pamoja na umbile lake; hakika sifa apewe Muumbaji. Natafakari kinavyowachanganya watu, wengine wanajinyonga, wengine wanagombana na ndugu zao na majanga kibao .... kweli ni ajabu.. kiungo kilichoumbwa kama msaidizi kwa kiungo kingine (cha Adamu) ona kinavyofanya jukwaa hili lijae ....... Wewe unasemaje? hebu wenzangu tafakari kazi za viungo mbalimbali mwilini mwako.... kisha tumpe Mungu Muumbaji utukufu.

Na wengine wanaandika post kama hivi.
 
Hahahah!!!

Mimi nilikuwa nauliza nijue tu ili nami nidiskasi nawe...:smile-big:

bado napenda kuona discussion yako! hebu fikiria watu wanavyoparangana kwa kutokitumia vizuri kiungo hiki. Inawezekana wanakitumia tofauti na malengo ya Muumbaji
 
naona usiku wa leo haukua mzuri. kila thred leo inakuja na kituko chake, ngoja tuone hadi jioni itakuaje ila nahisi leo hela ya kitoga inaweza isipatikane

tulia rafiki, we huoni jinsi hiki kiungo kinagonganisha watu? unafikiri kilitengenezwa na malengo hayo?
 
...mh, ngoja 'nikitoe' zangu..hapa hapanifai sijui nimefikaje kwanza!!!lol!!!

Najua utarudi tu kuja kutuelezea jinsi ndoa zinavyotaabishwa ....... inawezekana chanzo ikawa na haka kakiungo
 
Back
Top Bottom