happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
- #21
Kiungo kilichoumbwa...ila kinaleta majanga?
Kiungo kilchoumbwa..ila kinaleta vifo?
Kiungo kilichoumbwa ..ila watu ndugu hawawezi kukishare?
Chafaa nini basi.....
Chafaa kitumike sawa sawa na lengo lake la kuumbwa (kutengenezwa)