Ni ajabu na ni kweli

Ni ajabu na ni kweli

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BuQQ1_6IQAAYYPb.jpg:large
 
Muachane kwa miaka sitini halafu mje mtambuane uzeeni? Kweli hayo ni maajabu makubwa!
 
Hii picha ni nzuri na elimu ya maisha kwa namna walivo ishi hadi kuwa vikongwe na bado pendo lipo lakini njoo hapa bongo tunawaita wachawi na washirikina na tunawaua nyumba zao kutia moto je ni laana au ni utamaduni wa sisi ngozi nyeusi
 
Mwanaume hajaoa tena? Itakuwa ajabu nyingine tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom