Umekumbuka sentensi muhimu sana,njoo ulambe juice nyeupe,bure kabisaKumbe ndiyo maana ya “labda mambo ya haribike sana kati ya sasa hivi na wakati huo”.
Usipanic dada, tulia huyu tunammudu mbona!We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!
Wewe punguani kweli unaandika mipasho tu.Nimesema hakuna uchaguzi?? Ng'ombe wa mama
😅 tena mwenye CPAMakalla amechanganyikiwa, hajui ashike lipi na aache lipi.
Mambo yanadaiwa yameshaparanyika huko ndani ya CCM, Makalla kaambiwa wewe ni mtu mzima tena mwenye CPA sasa nenda kaseme chochote kilichopo kichwani ili kutuliza mambo.
Anaachia ngazi ipi?Wiki ijayo Nchimbi naye ataachia ngazi...... Ndiyo maana Maza naye ameenda znz kutuliza Akili
Eti "Rais wa viti Maalum".Nyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana Hadi kuhailisha vikao😁.
Taarifa iliyotoka kwenye barua ni tofauti na alichokisema Amos Makalla.
Eti wamezidiwa na namba za wagombea.
Ninachofurahi Samia kimemkuta, tiyari Kuna mpasuko. Sasa kazi Kwa CCM
Mtuletee raisi wa viti maalumu au afekwe jina kuokoa reputation ya Chama.
Niko pale😁
View attachment 3411781View attachment 3411782
Hakika kabisa, na huo uhuni ambao umeonekana wazi vipi wa nyuma ya pazia?JK ndiye mhuni mwandamizi
Mzee una mapovu sana, au fedha za kiinua mgongo zimekata nini 🤣📢📢📢We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!
Sasa Yale mabango yenye sura nchi nzima tuta yafanyia nini au tutapewa kama zawadi tupambe nyumba zetu?Yeesi ule ni mtego.ndo maana zikawekwa kete mbili ikishindwa hii nasogeza hii ikishindwa na hii kijana anaitwa kama mpya ambaye kimsingi ana uungwaji mkono sana kwenye jumuiya . Alishindwa kuukata mkono unaomlisha mwanawe
Tusubir
Akili ndogo, huwezi kuuza nyumba kisa jirani yako anapiga kelele. Kistaarabu unaongea na jirani au unaita serikali ya mtaa mkae kikao.😁😁😁Aisee unajua nimefurahi Samia kaumiza sana Chadema akitegemea atapata unafuu kimemlamba
Nyazifa zote mbiliAnaachia ngazi ipi?
a) Katibu mkuu wa chama au
b) mgombea mwenza?
Jina la MAKALLA limetufedhehesha wenye CPA wote kuonekana tu punguani!Makalla amechanganyikiwa, hajui ashike lipi na aache lipi.
Mambo yanadaiwa yameshaparanyika huko ndani ya CCM, Makalla kaambiwa wewe ni mtu mzima tena mwenye CPA sasa nenda kaseme chochote kilichopo kichwani ili kutuliza mambo.
Point of correction, hajaenda kutuliza akili bali, kuongezewa nguvu za majini maana Kuna hatari ya dhoruba kumkumba.Wiki ijayo Nchimbi naye ataachia ngazi...... Ndiyo maana Maza naye ameenda znz kutuliza Akili
Huo ndio mwarobaoni hata serikali itakuwa active kwa kuogopa kufukuzwa. Reforms zianze ndani ya chamaCCM mnafeli wapi
Mambo ni simple tu
Tungeni sheria kuzuia wenyeviti wa vyama kuwania uraisi
Hakunaga bogasi kama hili jingaNyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana Hadi kuhailisha vikao😁.
Taarifa iliyotoka kwenye barua ni tofauti na alichokisema Amos Makalla.
Eti wamezidiwa na namba za wagombea.
Ninachofurahi Samia kimemkuta, tiyari Kuna mpasuko. Sasa kazi Kwa CCM
Mtuletee raisi wa viti maalumu au afekwe jina kuokoa reputation ya Chama.
Niko pale😁
View attachment 3411781View attachment 3411782
Cry more kid. Hiyo ndiyo imekwisha. Samia ndiye mgombea, na Oktoba anapeta, jipangeni na 2030. Don't waste your energy for the 2025 elections. You are hopelessly out of timeNyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana Hadi kuhailisha vikao😁.
Taarifa iliyotoka kwenye barua ni tofauti na alichokisema Amos Makalla.
Eti wamezidiwa na namba za wagombea.
Ninachofurahi Samia kimemkuta, tiyari Kuna mpasuko. Sasa kazi Kwa CCM
Mtuletee raisi wa viti maalumu au afekwe jina kuokoa reputation ya Chama.
Niko pale😁
View attachment 3411781View attachment 3411782
Hizo ni ndoto, nakishauri ukiona mlango wa choo amka, usije kunya kitandaniWiki ijayo Nchimbi naye ataachia ngazi...... Ndiyo maana Maza naye ameenda znz kutuliza Akili
HewalaWe kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!
Mwenyekiti wa chama hapaswi kugombea urais maana kunakuwa na conflit of interest.CCM mnafeli wapi
Mambo ni simple tu
Tungeni sheria kuzuia wenyeviti wa vyama kuwania uraisi